Polepole hawezi kukemea utekaji na mambo mengine ya kihuni ya serikali ya sita. Maana yote yanayotendeka sasa yalitendeka pia 2015-2021

Polepole hawezi kukemea utekaji na mambo mengine ya kihuni ya serikali ya sita. Maana yote yanayotendeka sasa yalitendeka pia 2015-2021

Atazunguka zunguka tu kutaja mchakato wa mgombea wa Urais na mchakato wake but hawezi kugusa mambo mengine.

Mambo mengi ya hovyo ya kipindi hichi ni reflection ya kipindi cha Magufuli ambacho Polepole alikuwa mezani akila pamoja na Rais Magufuli.

Hazungumzii jinsi wapinzani wanavyonyimwa haki ya kikatiba kushiriki siasa maana muasisi wa uhuni wa kuwanyanyasa wapinzani kama mbwa ni Magufuli na huyo Polepole.

Hazungumzii mambo ya utekaji maana ushenzi wakutekana ulipata kibali rasmi kipindi cha Magufuli. Huko nyuma ulikuwepo but kipindi cha Magufuli ndipo ukawa rasmi.

Ndipo watu waliokotwa fukweni kama samaki.

Kwahiyo Polepole anapigania maslahi yake tu si Taifa.
Wakati yanatendeka SSH alikuwa na. 2
 
Wakati yanatendeka SSH alikuwa na. 2
Simtetei Samia.
Ninachokataa ni unafiki wa Polepole baada ya kuona nafasi yake ya Sasa haina bahasha kama nafasi yake enzi za Jiwe.
Alizoea million 50, 100 n.k from no where zinamjia tu . Sasa unalozi ni mshahara na posho basi
 
Back
Top Bottom