^Hii serikali sio mpya,haikupigiwa kura, huwezi ukaita awamu ya sita, awamu lazima iwe na miaka10, ilani na Sera zinazopaswa kutekelezwa ni zile tulizozinadi 2020, asiwadanganye mtu kuwa hii ni awamu ya sita,Kwa sababu aliyeondoka ni Magufuli peke yake^ ~ Polepole...