Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
hicho ndo kinachonifanya nipende sana kumsikiliza , anatumia hekima sana kufikisha ujumbe , japo angeongeza facts na details ingekuwa burudani zaidiKatika eneo ambalo Polepole anapatia sana nikuwajibu hawa jamaa bila jazba na anawachapa spana zakisawasawa . Na Mimi nilivyo mnaa naombea hawa jamaa waendelee kumchokonoa Polepole ili wampe nafasi ya kuwavua nguo , time goes mambo mengi yatakuwa wazi sana ,mifano hili la watekaji jamaa kishaachia code hadharani kuwa mtoto wa Sa100 ndiyo anaetuokota mmoja mmoja .