Polepole: Kama CCM hatutamwaga oil mkashupaza shingo, tutatumia njia y dharura kama ile ya kushusha maboya kama ya hatari kwenye Ndege

Polepole: Kama CCM hatutamwaga oil mkashupaza shingo, tutatumia njia y dharura kama ile ya kushusha maboya kama ya hatari kwenye Ndege

1000050678.jpg
 
One man down.
The island still breathes.
TWISS drills, Tyrant barks, shadows stretch across the 6th parallel.
She remains under the lens, silent carrying the weight of our forgotten wealth.
Someone cracked the fruit.
Now we wait to see…
Did the drill break through or did the ground swallow him?
R.I.P JUSTINO NDUGAI
 
Polepole ajenda yake kubwa ni CCM kuendelea kushika hatamu, sio kingine, ishu ni nani aongoze sasa.

Chadema waache kutekwa na upepo wa mwanaCCM asiyeimba ajenda zao kama NRNE.
 
Code, maboya ya ndege hayo ni yapi ambayo yatashushwa na kukoa CCM na Tanzania OIL isipomwagwa
Duh basi inawezekana huu mnyukano upo ndani kabisa na inawezekana mfumo upo na Polepole
 
Back
Top Bottom