Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Polepole Polepole Polepole nimekuita mara tatu.
Unakumbuka vizuri chuma mwanzoni mwa uongozi wake alitikisa watu kwa kuibua list ya wauza sembe nchini.
Wengi walitajwa, na bila shaka chuma aliamua kusitisha ile operesheni.
Sasa hebu tuletee list ya wauza Sembe ili Jamii iwaepuke, iwaogope kama ukoma!