Polepole kanatudanganya juu ya bima ya afya na hesabu zake za Abunuwasi apuuzwe kabisa

Polepole kanatudanganya juu ya bima ya afya na hesabu zake za Abunuwasi apuuzwe kabisa

Polepole kanatudanganya juu ya bima.ya afya na hesabu zake za bunuwasi apuuzwe kabisa,

Hana akili yoyote ya Actuarial Science haiwezekani haje na graph zake, a bunuwasi kuja kusema mambo ambayo hata mtoto mdogo anaona ni uongo kabisa.

Apuuzwee polepole.
Ulipoandika HAJE nikajua ndo wale wale vilaza wasiopenda shule wao wanaambiwa tu na waume zao.
 
Chama kinatuma watu vilaza waje kumpinga Polepole. Kinazidi kudhalilika
 
Polepole kanatudanganya juu ya bima.ya afya na hesabu zake za bunuwasi apuuzwe kabisa,

Hana akili yoyote ya Actuarial Science haiwezekani haje na graph zake, a bunuwasi kuja kusema mambo ambayo hata mtoto mdogo anaona ni uongo kabisa.

Apuuzwee polepole.
Ona hili ling'ombe nalo? Si wewe ulete ukweli ni upi? Machawa mna kazi sana
 
K.uma wewe serikali ya maccm imewahi kufanikiwa nn kwny taifa hli kama maji tu na madawati yamewashnda huko hospital tu hata panadol hakuna sembuse bima ya afya kwa kila mtu
 
Hela za mfuko wa bima ya afya zikiacha bila kuibiwa na mtu yoyote hata mia. Zinatoshea kabisa kumfanya kila mtanzania kupata bima ya afya. Kungekuwa na sheria inayota adhabu kali automatically kwa yoyote anayechomoa hela za mfuko wa bima na kufanya matumizi yoyote yale mngeona kama bima ingekuwa issue Tanzania.
Wachangiaji ni wachache
 
ID mpya za machawa ingizo jipya.

Pole sana aliyepuuzwa ni huyo bi Mwenda anayezurura kwenye matamasha na wasanii wakifuja pesa za walipa kodi halafu anasema anafanya kampeni.
 
Analysis yako wewe mjinga iko wapi...?

Unabweka tu kama mbwa koko aliyetishiwa na kivuli cha jani la mtama...

You're just another very stupid and foolish Samia Suluhu's empty set chawa...
Hahahhahaaa dah mkuu naona topic ya empty form two ilikuingia vizuri. Empty set chawa kmmk
 
Wachangiaji ni wachache
Wapo wengi mbona. Kichwa kimoja kikilipa shilingi 10,000 kwa mwaka zidisha mara nusu tu ya population ya watanzania wote 10,000 mara 35,000,000 = 350,000,000,000/= billion 350. Hapo ni tumeweka kiwango cha 10,000 tu kama low rate kwa watu wote ila kumbuka kuna vifurushi tofauti unaweza kuweka. Mfano cha 50,000, 100,000, 250,000,350,000, 750,000 hadi milioni watu wachague kifurushi ambacho kwao ni affordable na kulipia kwa mwaka. Hawa wengine wakilipia ukipiga kwa wastani unaweza shangaa ikawa ni wastani wa watu milioni 35 wamelipia 50,000 ambayo kihesabu ni shilingi 50,000 mara 35,000,000 = 1,750,000,000,000/= yaani trillion 1 point 7 au trillion 1 bilioni mia saba na nusu.

Hizi hela ni pato la mwaka m'moja, wakibana wizi na false claims za insurance plus kubana insurance frauds, zidisha hilo pato kila mwaka litaongezeka kwa kiasi gani mzee? Kwamba watu wanaumwa kila siku. Kuna watu wanakata bima wanatoboa mwaka hawajakanyaga hospital.

Mfano bajeti ya ununuzi wa madawa kwa mwaka tu ni bilioni 270 serikali imeweka.

Hapo hatujazungumzia serikali kukomaa na utoaji wa elimu kwa raia kupambana na maradhi yanayoweza kutokomezwa kama kipindupindu, maralia, typhoid, UTI na STDs zote. Mbona inawezekana?
 
We mtoa hoja ushauguliwa? Bata wewe. Watu wanauza nyumba, ngombe kutibu wapendwa wao.
Vifurushi vya bima si ni afadhali hata vya bando.
 
Chawa kilaza kama wewe ambaye hata uandishi kwako ni mtihani ndio unasema Andrew ni kichaa??
 
Back
Top Bottom