Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Ulipoandika HAJE nikajua ndo wale wale vilaza wasiopenda shule wao wanaambiwa tu na waume zao.Polepole kanatudanganya juu ya bima.ya afya na hesabu zake za bunuwasi apuuzwe kabisa,
Hana akili yoyote ya Actuarial Science haiwezekani haje na graph zake, a bunuwasi kuja kusema mambo ambayo hata mtoto mdogo anaona ni uongo kabisa.
Apuuzwee polepole.

Chama kinatuma watu vilaza waje kumpinga Polepole. Kinazidi kudhalilikaPolepole kanatudanganya juu ya bima.ya afya na hesabu zake za bunuwasi apuuzwe kabisa,
Hana akili yoyote ya Actuarial Science haiwezekani haje na graph zake, a bunuwasi kuja kusema mambo ambayo hata mtoto mdogo anaona ni uongo kabisa.
Apuuzwee polepole.
Ona hili ling'ombe nalo? Si wewe ulete ukweli ni upi? Machawa mna kazi sanaPolepole kanatudanganya juu ya bima.ya afya na hesabu zake za bunuwasi apuuzwe kabisa,
Hana akili yoyote ya Actuarial Science haiwezekani haje na graph zake, a bunuwasi kuja kusema mambo ambayo hata mtoto mdogo anaona ni uongo kabisa.
Apuuzwee polepole.
Wachangiaji ni wachacheHela za mfuko wa bima ya afya zikiacha bila kuibiwa na mtu yoyote hata mia. Zinatoshea kabisa kumfanya kila mtanzania kupata bima ya afya. Kungekuwa na sheria inayota adhabu kali automatically kwa yoyote anayechomoa hela za mfuko wa bima na kufanya matumizi yoyote yale mngeona kama bima ingekuwa issue Tanzania.
Hahahhahaaa dah mkuu naona topic ya empty form two ilikuingia vizuri. Empty set chawa kmmkAnalysis yako wewe mjinga iko wapi...?
Unabweka tu kama mbwa koko aliyetishiwa na kivuli cha jani la mtama...
You're just another very stupid and foolish Samia Suluhu's empty set chawa...
Wapo wengi mbona. Kichwa kimoja kikilipa shilingi 10,000 kwa mwaka zidisha mara nusu tu ya population ya watanzania wote 10,000 mara 35,000,000 = 350,000,000,000/= billion 350. Hapo ni tumeweka kiwango cha 10,000 tu kama low rate kwa watu wote ila kumbuka kuna vifurushi tofauti unaweza kuweka. Mfano cha 50,000, 100,000, 250,000,350,000, 750,000 hadi milioni watu wachague kifurushi ambacho kwao ni affordable na kulipia kwa mwaka. Hawa wengine wakilipia ukipiga kwa wastani unaweza shangaa ikawa ni wastani wa watu milioni 35 wamelipia 50,000 ambayo kihesabu ni shilingi 50,000 mara 35,000,000 = 1,750,000,000,000/= yaani trillion 1 point 7 au trillion 1 bilioni mia saba na nusu.Wachangiaji ni wachache
Hoja gani? Acheni utani. Wehu nao wanakuwa na hoja?Polepole ana hoja na asipuuzwe.