GE2025 Polepole kasema ACT ni kitengo cha mfumo wa CCM, Mpina katumwa na CCM kwenda ACT? Dorothy asingelitosha kucheza scene hiyo?

GE2025 Polepole kasema ACT ni kitengo cha mfumo wa CCM, Mpina katumwa na CCM kwenda ACT? Dorothy asingelitosha kucheza scene hiyo?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Najaribu ku connect matukio ya Mpina na Samia wake.............................tunakudai, kukatwa, then kwenda CCM. Dorothy kuachia urais, Mpina kuchukua fomu...WHAT DOES ALL THAT MEAN? Quencher

All in all. main take home msg ni kuwa vyama vyote vilivyoingia kwenye uchaguzi ni matawi ya CCM kupitia kwa Mtandao wa Kikwete na Rostam!
 
Mpinzani wa kweli ni LISSU ndani ya CHADEMA ambayo nayo imejaa mapandikizi mengi ya CCM. Hata watu wa CHADEMA waliokua wanakufa ni kwa ajili ya mapandikizi ya CCM
Mapandikizi kama wakina Yeriko tyr wamesha sepa kama wamo bado wachache sana.
 
Vyama vyote vya upinzani vina mapandikizi. Wakati muafaka unapofika wanatumika kufanya kazi wanayoilia posho.
 
Mpinzani wa kweli ni LISSU ndani ya CHADEMA ambayo nayo imejaa mapandikizi mengi ya CCM. Hata watu wa CHADEMA waliokua wanakufa ni kwa ajili ya mapandikizi ya CCM
Mbowe amekunywa damu nyingi sana za wanachadema.
 
Ninauhakika Dorothy watu wengi hawamfahamu ukilinganisha na Mpina. Hapa kwetu mwandoya kiongozi wa ACT tunae mfahamu ni Zitto Kabwe.
 
Back
Top Bottom