Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu wawili kuhusu fikra zao kuwakabili wakoloni kujenga hoja yangu.
Okonkwo:"Then let us fight them. Let us drive them out of our land."
Obierika:"It is already too late," said Obierika sadly. Our own men and sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men, we would have to fight our own brothers."
Katika riwaya hii itakumbukwa msimamo mkali na hatua kali alizozichukua Okonkwo, sio tu hazikufaniwa, bali zilimgharimu maisha yake. Obierika alihitimisha riwaya hii kwa kumuelea Okonkwo kuwa “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself; and now he will be buried like a dog”
Siku si nyingi niliandika makala kusema "Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa CCM, ni les judicata kwa sasa" nikiwa na maana ya kisheria kuwa limehitimishwa!
Katika vyama 19 vilivyo sajiliwa, vyama 18, aidha vimeshakamilisha uteuzi wa wagombea au vipo kwenye hatua mbalimbali za kufanya hivyo. Nani sasa unadhani ataunga mkono agenda yako kama sio CHADEMA peke yao wanaoendelea na No reforms, No election?
Ukweli ni kuwa, October 29, 2025 uchaguzi utafanyika, Rais Samia atashinda na kutangazwa, na CCM watajizolea majimbo yote na viti vyote vya udiwani kupitia wanachama wao zaidi ya milioni 13 watakaopiga kura. Kwa mtazamo huu narejea ushauri uliotolewa na Obierika kwa Okonkwo: "If I were you, I would have stayed at jome"
SAMIA'S NOMINATION IS LES JUDICATA NOW
This is the statement normally given by cowards and myopic pessimists. For us, the optimists, never say never and will never give up despite of all odds.If I were you, I would have stayed at jome"
Si ajabu Pole pole keshaanza kujuta. Alioahidiana nao kumuunga mkono wameyeyuka. Poor Brain
Polepole anachoki gombania hakipo,mtandao wake umesha vunjwa vunjwa.
Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu wawili kuhusu fikra zao kuwakabili wakoloni kujenga hoja yangu.
Okonkwo:"Then let us fight them. Let us drive them out of our land."
Obierika:"It is already too late," said Obierika sadly. Our own men and sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men, we would have to fight our own brothers."
Katika riwaya hii itakumbukwa msimamo mkali na hatua kali alizozichukua Okonkwo, sio tu hazikufaniwa, bali zilimgharimu maisha yake. Obierika alihitimisha riwaya hii kwa kumuelezea Okonkwo kuwa “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself; and now he will be buried like a dog”
Siku si nyingi niliandika makala kusema "Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa CCM, ni les judicata kwa sasa" nikiwa na maana ya kisheria kuwa limehitimishwa!
Katika vyama 19 vilivyo sajiliwa, vyama 18, aidha vimeshakamilisha uteuzi wa wagombea au vipo kwenye hatua mbalimbali za kufanya hivyo. Nani sasa unadhani ataunga mkono agenda yako kama sio CHADEMA peke yao wanaoendelea na No reforms, No election?
Ukweli ni kuwa, October 29, 2025 uchaguzi utafanyika, Rais Samia atashinda na kutangazwa, na CCM watajizolea majimbo yote na viti vyote vya udiwani kupitia wanachama wao zaidi ya milioni 13 watakaopiga kura. Kwa mtazamo huu narejea ushauri uliotolewa na Obierika kwa Okonkwo: "If I were you, I would have stayed at jome"
SAMIA'S NOMINATION IS LES JUDICATA NOW
Kaa kwa kutuliaSi ajabu Pole pole keshaanza kujuta. Alioahidiana nao kumuunga mkono wameyeyuka. Poor Brain
Nitasoma hiki kitabu kujielimisha zaidi.Kikulacho ki nguoni mwako!
Siyo kweli kabisa kwamba Watu wote ambao wamemzingira huyo mtu kwamba kweli wanampenda kutoka mioyoni mwao, la hasha.
Soma Kitabu kinavhoitwa:
"The Snake in Suits"
Aidha, Waingereza Wana msemo wao kwamba " There is more than one way of skinning a cat."
Mwamba umewatesa kweli hapa chadema, umewaumiza!!Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu wawili kuhusu fikra zao kuwakabili wakoloni kujenga hoja yangu.
Okonkwo:"Then let us fight them. Let us drive them out of our land."
Obierika:"It is already too late," said Obierika sadly. Our own men and sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men, we would have to fight our own brothers."
Katika riwaya hii itakumbukwa msimamo mkali na hatua kali alizozichukua Okonkwo, sio tu hazikufaniwa, bali zilimgharimu maisha yake. Obierika alihitimisha riwaya hii kwa kumuelezea Okonkwo kuwa “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself; and now he will be buried like a dog”
Siku si nyingi niliandika makala kusema "Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa CCM, ni les judicata kwa sasa" nikiwa na maana ya kisheria kuwa limehitimishwa!
Katika vyama 19 vilivyo sajiliwa, vyama 18, aidha vimeshakamilisha uteuzi wa wagombea au vipo kwenye hatua mbalimbali za kufanya hivyo. Nani sasa unadhani ataunga mkono agenda yako kama sio CHADEMA peke yao wanaoendelea na No reforms, No election?
Ukweli ni kuwa, October 29, 2025 uchaguzi utafanyika, Rais Samia atashinda na kutangazwa, na CCM watajizolea majimbo yote na viti vyote vya udiwani kupitia wanachama wao zaidi ya milioni 13 watakaopiga kura. Kwa mtazamo huu narejea ushauri uliotolewa na Obierika kwa Okonkwo: "If I were you, I would have stayed at jome"
SAMIA'S NOMINATION IS LES JUDICATA NOW
Unaujua mtandao wake mkuu..Polepole anachoki gombania hakipo,mtandao wake umesha vunjwa vunjwa.
Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu wawili kuhusu fikra zao kuwakabili wakoloni kujenga hoja yangu.
Okonkwo:"Then let us fight them. Let us drive them out of our land."
Obierika:"It is already too late," said Obierika sadly. Our own men and sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men, we would have to fight our own brothers."
Katika riwaya hii itakumbukwa msimamo mkali na hatua kali alizozichukua Okonkwo, sio tu hazikufaniwa, bali zilimgharimu maisha yake. Obierika alihitimisha riwaya hii kwa kumuelezea Okonkwo kuwa “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself; and now he will be buried like a dog”
Siku si nyingi niliandika makala kusema "Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa CCM, ni les judicata kwa sasa" nikiwa na maana ya kisheria kuwa limehitimishwa!
Katika vyama 19 vilivyo sajiliwa, vyama 18, aidha vimeshakamilisha uteuzi wa wagombea au vipo kwenye hatua mbalimbali za kufanya hivyo. Nani sasa unadhani ataunga mkono agenda yako kama sio CHADEMA peke yao wanaoendelea na No reforms, No election?
Ukweli ni kuwa, October 29, 2025 uchaguzi utafanyika, Rais Samia atashinda na kutangazwa, na CCM watajizolea majimbo yote na viti vyote vya udiwani kupitia wanachama wao zaidi ya milioni 13 watakaopiga kura. Kwa mtazamo huu narejea ushauri uliotolewa na Obierika kwa Okonkwo: "If I were you, I would have stayed at jome"
SAMIA'S NOMINATION IS LES JUDICATA NOW
Mkuu Coco kama hakipo, kwa nini achukue fomu baada ya pole pole kuhoji uhalali wake!!! Uchawa mwingine ni aibu!!! 🤣 🤣 🤣 🔊Polepole anachoki gombania hakipo,mtandao wake umesha vunjwa vunjwa.
Ni Tanzania pekee duniani wasomi wanakua chawa wa wanasiasa, bila hivyo hawatoboi watalala njaa.Kumbuka udaktari hauokotwi, ni taji unalolipata baada ya mchakato mrefu wa kitaaluma. Usione wivu tukijitambulisha nao, maana tumeusotea.
Nadhani hakuna wa kumzuia kufanya lolote, ila waTanzania walichofanya ni kulikabidhi jambo hilo kwa Mungu mwenyewe aamua. Lolote atakaloamua Mungu ndilo tutatakiwa kulifuata.Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu wawili kuhusu fikra zao kuwakabili wakoloni kujenga hoja yangu.