Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
Anachuki binafsi dhidi ya raisKwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu wawili kuhusu fikra zao kuwakabili wakoloni kujenga hoja yangu.
Okonkwo:"Then let us fight them. Let us drive them out of our land."
Obierika:"It is already too late," said Obierika sadly. Our own men and sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men, we would have to fight our own brothers."
Katika riwaya hii itakumbukwa msimamo mkali na hatua kali alizozichukua Okonkwo, sio tu hazikufaniwa, bali zilimgharimu maisha yake. Obierika alihitimisha riwaya hii kwa kumuelezea Okonkwo kuwa “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself; and now he will be buried like a dog”
Siku si nyingi niliandika makala kusema "Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa CCM, ni les judicata kwa sasa" nikiwa na maana ya kisheria kuwa limehitimishwa!
Katika vyama 19 vilivyo sajiliwa, vyama 18, aidha vimeshakamilisha uteuzi wa wagombea au vipo kwenye hatua mbalimbali za kufanya hivyo. Nani sasa unadhani ataunga mkono agenda yako kama sio CHADEMA peke yao wanaoendelea na No reforms, No election?
Ukweli ni kuwa, October 29, 2025 uchaguzi utafanyika, Rais Samia atashinda na kutangazwa, na CCM watajizolea majimbo yote na viti vyote vya udiwani kupitia wanachama wao zaidi ya milioni 13 watakaopiga kura. Kwa mtazamo huu narejea ushauri uliotolewa na Obierika kwa Okonkwo: "If I were you, I would have stayed at jome"
SAMIA'S NOMINATION IS LES JUDICATA NOW
Kama kweli anachukua itakuwa ameamua kutudharau wtz.Maana mwenye akili timamu hakuna anayemtaka awe rais tena
Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu wawili kuhusu fikra zao kuwakabili wakoloni kujenga hoja yangu.
Okonkwo:"Then let us fight them. Let us drive them out of our land."
Obierika:"It is already too late," said Obierika sadly. Our own men and sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men, we would have to fight our own brothers."
Katika riwaya hii itakumbukwa msimamo mkali na hatua kali alizozichukua Okonkwo, sio tu hazikufaniwa, bali zilimgharimu maisha yake. Obierika alihitimisha riwaya hii kwa kumuelezea Okonkwo kuwa “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself; and now he will be buried like a dog”
Siku si nyingi niliandika makala kusema "Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa CCM, ni les judicata kwa sasa" nikiwa na maana ya kisheria kuwa limehitimishwa!
Katika vyama 19 vilivyo sajiliwa, vyama 18, aidha vimeshakamilisha uteuzi wa wagombea au vipo kwenye hatua mbalimbali za kufanya hivyo. Nani sasa unadhani ataunga mkono agenda yako kama sio CHADEMA peke yao wanaoendelea na No reforms, No election?
Ukweli ni kuwa, October 29, 2025 uchaguzi utafanyika, Rais Samia atashinda na kutangazwa, na CCM watajizolea majimbo yote na viti vyote vya udiwani kupitia wanachama wao zaidi ya milioni 13 watakaopiga kura. Kwa mtazamo huu narejea ushauri uliotolewa na Obierika kwa Okonkwo: "If I were you, I would have stayed at jome"
SAMIA'S NOMINATION IS LES JUDICATA NOW
Mwanafunzi wangu wa English Language umeandika vyema kabisa. Wakati wewe unamaliza form four miaka hiyo, tayari Mimi ni mwalimu wa English Language hadi nikamfundisha mke wa Marehemu Mawazo yule Mwarabu Koko wa Kayenze!Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu wawili kuhusu fikra zao kuwakabili wakoloni kujenga hoja yangu.
Okonkwo:"Then let us fight them. Let us drive them out of our land."
Obierika:"It is already too late," said Obierika sadly. Our own men and sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men, we would have to fight our own brothers."
Katika riwaya hii itakumbukwa msimamo mkali na hatua kali alizozichukua Okonkwo, sio tu hazikufaniwa, bali zilimgharimu maisha yake. Obierika alihitimisha riwaya hii kwa kumuelezea Okonkwo kuwa “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself; and now he will be buried like a dog”
Siku si nyingi niliandika makala kusema "Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa CCM, ni les judicata kwa sasa" nikiwa na maana ya kisheria kuwa limehitimishwa!
Katika vyama 19 vilivyo sajiliwa, vyama 18, aidha vimeshakamilisha uteuzi wa wagombea au vipo kwenye hatua mbalimbali za kufanya hivyo. Nani sasa unadhani ataunga mkono agenda yako kama sio CHADEMA peke yao wanaoendelea na No reforms, No election?
Ukweli ni kuwa, October 29, 2025 uchaguzi utafanyika, Rais Samia atashinda na kutangazwa, na CCM watajizolea majimbo yote na viti vyote vya udiwani kupitia wanachama wao zaidi ya milioni 13 watakaopiga kura. Kwa mtazamo huu narejea ushauri uliotolewa na Obierika kwa Okonkwo: "If I were you, I would have stayed at jome"
SAMIA'S NOMINATION IS LES JUDICATA NOW
Siyo 'les judicata " × ni res judicata ✓Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu wawili kuhusu fikra zao kuwakabili wakoloni kujenga hoja yangu.
Okonkwo:"Then let us fight them. Let us drive them out of our land."
Obierika:"It is already too late," said Obierika sadly. Our own men and sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men, we would have to fight our own brothers."
Katika riwaya hii itakumbukwa msimamo mkali na hatua kali alizozichukua Okonkwo, sio tu hazikufaniwa, bali zilimgharimu maisha yake. Obierika alihitimisha riwaya hii kwa kumuelezea Okonkwo kuwa “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself; and now he will be buried like a dog”
Siku si nyingi niliandika makala kusema "Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa CCM, ni les judicata kwa sasa" nikiwa na maana ya kisheria kuwa limehitimishwa!
Katika vyama 19 vilivyo sajiliwa, vyama 18, aidha vimeshakamilisha uteuzi wa wagombea au vipo kwenye hatua mbalimbali za kufanya hivyo. Nani sasa unadhani ataunga mkono agenda yako kama sio CHADEMA peke yao wanaoendelea na No reforms, No election?
Ukweli ni kuwa, October 29, 2025 uchaguzi utafanyika, Rais Samia atashinda na kutangazwa, na CCM watajizolea majimbo yote na viti vyote vya udiwani kupitia wanachama wao zaidi ya milioni 13 watakaopiga kura. Kwa mtazamo huu narejea ushauri uliotolewa na Obierika kwa Okonkwo: "If I were you, I would have stayed at jome"
SAMIA'S NOMINATION IS LES JUDICATA NOW
Baada ya mapigano ya Chaeronea mwaka 338BC dhidi ya vikosi vya Mfalme Philip II wa Macedonia, Demosthenes wa Athene alisema "If we survive, we shall fight again." Huu ndio msingi fikra kwamba unahitajika kuwa hai kwanza, ili uweze kupambane tena kesho.This is the statement normally given by cowards and myopic pessimists. For us, the optimists, never say never and will never give up despite of all odds.
Ahsante Mwalimu! Barikiwa sana kwa kazi nzuri. Ninyi ndio walezi wa Taifa hili.Mwanafunzi wangu wa English Language umeandika vyema kabisa. Wakati wewe unamaliza form four miaka hiyo, tayari Mimi ni mwalimu wa English Language hadi nikamfundisha mke wa Marehemu Mawazo yule Mwarabu Koko wa Kayenze!
Noted for correctionsSiyo 'les judicata " × ni res judicata ✓
Ameshaonywa lakini! Tena kwa kurudiarudiaKwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu wawili kuhusu fikra zao kuwakabili wakoloni kujenga hoja yangu.
Okonkwo:"Then let us fight them. Let us drive them out of our land."
Obierika:"It is already too late," said Obierika sadly. Our own men and sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men, we would have to fight our own brothers."
Katika riwaya hii itakumbukwa msimamo mkali na hatua kali alizozichukua Okonkwo, sio tu hazikufaniwa, bali zilimgharimu maisha yake. Obierika alihitimisha riwaya hii kwa kumuelezea Okonkwo kuwa “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself; and now he will be buried like a dog”
Siku si nyingi niliandika makala kusema "Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa CCM, ni les judicata kwa sasa" nikiwa na maana ya kisheria kuwa limehitimishwa!
Katika vyama 19 vilivyo sajiliwa, vyama 18, aidha vimeshakamilisha uteuzi wa wagombea au vipo kwenye hatua mbalimbali za kufanya hivyo. Nani sasa unadhani ataunga mkono agenda yako kama sio CHADEMA peke yao wanaoendelea na No reforms, No election?
Ukweli ni kuwa, October 29, 2025 uchaguzi utafanyika, Rais Samia atashinda na kutangazwa, na CCM watajizolea majimbo yote na viti vyote vya udiwani kupitia wanachama wao zaidi ya milioni 13 watakaopiga kura. Kwa mtazamo huu narejea ushauri uliotolewa na Obierika kwa Okonkwo: "If I were you, I would have stayed at jome"
SAMIA'S NOMINATION IS LES JUDICATA NOW
Usitujumuishe. Isemee nafasi yako. Tunaokubali na kumuelewa tuko wengi tuKama kweli anachukua itakuwa ameamua kutudharau wtz.Maana mwenye akili timamu hakuna anayemtaka awe rais tena
Dark Psychology............Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu wawili kuhusu fikra zao kuwakabili wakoloni kujenga hoja yangu.
Okonkwo:"Then let us fight them. Let us drive them out of our land."
Obierika:"It is already too late," said Obierika sadly. Our own men and sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men, we would have to fight our own brothers."
Katika riwaya hii itakumbukwa msimamo mkali na hatua kali alizozichukua Okonkwo, sio tu hazikufaniwa, bali zilimgharimu maisha yake. Obierika alihitimisha riwaya hii kwa kumuelezea Okonkwo kuwa “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself; and now he will be buried like a dog”
Siku si nyingi niliandika makala kusema "Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa CCM, ni Res judicata kwa sasa" nikiwa na maana ya kisheria kuwa limehitimishwa!
Katika vyama 19 vilivyo sajiliwa, vyama 18, aidha vimeshakamilisha uteuzi wa wagombea au vipo kwenye hatua mbalimbali za kufanya hivyo. Nani sasa unadhani ataunga mkono agenda yako kama sio CHADEMA peke yao wanaoendelea na No reforms, No election?
Ukweli ni kuwa, October 29, 2025 uchaguzi utafanyika, Rais Samia atashinda na kutangazwa, na CCM watajizolea majimbo yote na viti vyote vya udiwani kupitia wanachama wao zaidi ya milioni 13 watakaopiga kura. Kwa mtazamo huu narejea ushauri uliotolewa na Obierika kwa Okonkwo: "If I were you, I would have stayed at home. What you have dose will not please the earth"
SAMIA'S NOMINATION IS RES JUDICATA BY NOW
Kwa Nini wewe unawajumuisha na wengine?jisemee kuwa umamwelewa peke Yako baada ya kuhongwa baiskeli lakini mwenzako anatembelea v8 ya milioni miasitaUsitujumuishe. Isemee nafasi yako. Tunaokubali na kumuelewa tuko wengi tu
Kama safari yangu inahitaji biskeli ili nifike kuna haja gani ya kupewa v8?Kwa Nini wewe unawajumuisha na wengine?jisemee kuwa umamwelewa peke Yako baada ya kuhongwa baiskeli lakini mwenzako anatembelea v8 ya milioni miasita
Harakati zake zitqkuwa zimeweka mchanga mzuri si kwa sasa hata baada ya sasa kwaniKwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu wawili kuhusu fikra zao kuwakabili wakoloni kujenga hoja yangu.
Okonkwo:"Then let us fight them. Let us drive them out of our land."
Obierika:"It is already too late," said Obierika sadly. Our own men and sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men, we would have to fight our own brothers."
Katika riwaya hii itakumbukwa msimamo mkali na hatua kali alizozichukua Okonkwo, sio tu hazikufanikiwa, bali zilimgharimu maisha yake. Obierika alihitimisha riwaya hii kwa kumuelezea Okonkwo kuwa “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself; and now he will be buried like a dog”
Siku si nyingi niliandika makala kusema "Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa CCM, ni Res judicata kwa sasa" nikiwa na maana ya kisheria kuwa limehitimishwa!
Katika vyama 19 vilivyo sajiliwa, vyama 18, aidha vimeshakamilisha uteuzi wa wagombea au vipo kwenye hatua mbalimbali za kufanya hivyo. Nani sasa unadhani ataunga mkono agenda yako kama sio CHADEMA peke yao wanaoendelea na No reforms, No election?
Ukweli ni kuwa, October 29, 2025 uchaguzi utafanyika, Rais Samia atashinda na kutangazwa, na CCM watajizolea majimbo yote na viti vyote vya udiwani kupitia wanachama wao zaidi ya milioni 13 watakaopiga kura. Kwa mtazamo huu narejea ushauri uliotolewa na Obierika kwa Okonkwo: "If I were you, I would have stayed at home. What you have dose will not please the earth"
SAMIA'S NOMINATION IS RES JUDICATA BY NOW
Huyo PP ni nani kwenye chama hata watu wawache yao wamfuate yeye?Mkuu Coco kama hakipo, kwa nini achukue fomu baada ya pole pole kuhoji uhalali wake!!! Uchawa mwingine ni aibu!!! 🤣 🤣 🤣 🔊