Polepole kuandaliwa kuwa mgombea urais CHADEMA?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki

Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki

Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
Anaandaliwa kuwa mgombea hapo chukua chako mapema, kwa vigezo vyao naona anafiti🤔.
 
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki

Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
Chadema wakimpokea haki nitacheka. Huyu popoma kigeugeu
 
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki

Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
Ebu waombe radhi watanzania kwa kuwadharau
 
Nchi inapitia katika wakati mgumu sana,chini ya hizi panya buku ambazo mpaka usalama wa taifa kuingia lazima utokee kwenye vigogo wa KIJANI.

nyerere aling'atuka akiacha nchi ikiwa n'a Katiba mbovu.

Wajibu ni wale wote wanaoamini kuwa,katiba y'a mwaka 1977,bado inafaa kwa mwendo wa Dunia W@4G.
Polepole na genge lake la V8 watulie tu.
 
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki

Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
Mawazo ni kitu muhimu sana
 
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki

Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
Sasa ndugu Polepole akitumiwa na CCM kwenda kugombea uraisi huko Chadema na Chadema wakimpitisha kama alivyopitishwa Lowasa, nani unadhani atahitajika kulaumiwa? Maana hapa ni kama vile unakimbilia kuwalaumu waliomtuma (japo hakuna uhakika) na kuacha kuwalaumu waliompokea.
 
Chadema hatuna shida na maganda. Nyie ndio mlinunua watu kutoka Chadema na mkawapa vyeo maana mnajua wanajua baada ya kupikwa na kupikika kwenye kipiko kipikaji.
 
Back
Top Bottom