Polepole kuandaliwa kuwa mgombea urais CHADEMA?

Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki

Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025

Bahati ya Lowassa usiilalie mgongo wazi. Alikuja nyalandu akala za uso kwenye uchaguzi wa urais CHADEMA . Tatizo mnashindwa kuelewa kuwa Lowassa alikuwa man of the moment 2015. Kwa Mara ya kwanza tulienda kupiga kura hatujui nani atashinda Kati ya CCM na CHADEMA.
 
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki

Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
Mavi ake
 
Back
Top Bottom