Umeona tweet ya nape leo kuhusuSasa ndugu Polepole akitumiwa na CCM kwenda kugombea uraisi huko Chadema na Chadema wakimpitisha kama alivyopitishwa Lowasa nani unadhani atahitajika kubeba lawama? Maana hapa ni kama vile unakimbilia kuwalaumu waliomtuma (japo hakuna uhakika) na kuacha kuwalaumu waliompokea.
Lowasa kwenye uchaguzi 2015.
Hebu fuatilia Chadema hatukoseagi