Polepole kuandaliwa kuwa mgombea urais CHADEMA?

Umeona tweet ya nape leo kuhusu

Lowasa kwenye uchaguzi 2015.
Hebu fuatilia Chadema hatukoseagi
 
Nani kasema Chadema itashiriki uchaguzi bila tume huru!!!
Una maana lissu na Msigwa walipotangaza kugombea urais walikiuka maazimio ya chama? Au umesahau kuwa kuna watu wameshatangaza nia tayari!
 
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki

Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025

Amka usingizini utajikojela kwenye iyo ndoto yako unayoota Na ukizingatia uko ugenini utatia aibu bwashee
 
Chadema hatuna shida na maganda. Nyie ndio mlinunua watu kutoka Chadema na mkawapa vyeo maana mnajua wanajua baada ya kupikwa na kupikika kwenye kipiko kipikaji.
Ya ni kweli mkuu CCM wanachukua watu kutoka Chadema na kuwapa nafasi za juu kabisa ndan ya chama, na hata kuwapa nafasi za juu kabisa za kitaifa kama vile kugombea uraisi, ubunge, udiwani nk.

Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki

Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
Kama ni hivo basi ChaDMa itakua ndala za chooni
 
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki

Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
Hata agombee kwa chama cha Biden au Trump ataambukia kura za Membe.
 
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki

Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
Labda Chadema ya mkeo
 
Akitaka kuja chadema labda atuambie yeye na babake walimpeleka wapi ben saanane
 
Kwahiyo unakataa unafiki kama huo hauwezi kutokea au, hoja Nini hasa?
Off course hauwezi kutokea. Hata kupokea tu kama mwana chama wa kawaida nayo hsitatokea. Alichokifanya chini ya Godfather wake..... Ni tatizo tosha. Hana mtaji...... Kama anavyodai kwenye Chuo chake cha Uongozi.
 
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki

Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
Mmeanza tena na chokochoko zenu,, sasa hivi hachukuliwi mtu kutoka huko CCM,, bora agombee hata Sugu atapewa kura
 
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki

Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
Nahisi Wewe ni KICHAA kwani VICHAA ndio wenye Mawazo hayo
 
Akiwa na hela mbona rahisi tu....Kama mwenyekiti alitaka Nyalandu apeperushe bendera itakuwa huyu....? aende na hela za kutosha tu....
 
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki

Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
Dogo! kuna uchaguzi bila katiba mpya?
 
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki

Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
Ujinga na upumbavu uishie huko huko kwa waliokutuma.
 
Kama kawaida muda unakwenda kasi sana imekua kama muujiza Humphrey Polepole kuanza kuparuana makucha na MICCM mienzake chanzo halisi kikiwa hakieleweki

Naiona harufu ya CCM kumtumia huyu bwana kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA 2025
Anaandaliwa kuwa Baba yako wa kufikia.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…