Polepole: Kufanya harambee kama hizi kuna faida na hasara, lakini hasara ni kubwa zaidi. Chama kinatekwa

Polepole: Kufanya harambee kama hizi kuna faida na hasara, lakini hasara ni kubwa zaidi. Chama kinatekwa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
CCM kufanya harambee kama hizi kuna faida na hasara lakini hasara inakuwa kubwa sana. Kwamaana chama kinatekwa inakuwa iwewapa nguvu zenu watu wengine. Wahuni hupenda kukaa ndani ya CCM ili kuitawala Serikali. Kwahiyo chama kinapaswa kuwa uhuru

Harambee Gala ya Bilioni 100, Je chama cha wafanyakazi na wakulima kimetekwa nyara na mabwanyenye ?

1755118546672.jpeg
 
Harambee Gala ya Bilioni 100, Je chama cha wafanyakazi na wakulima kimetekwa nyara na mabwanyenye ?

View attachment 3440539
Anachekelea tu ka zuzuu
 
Huyu jamaa kama ni kukijua chama cha ccm kiundani basi anakijua haswaaa....Nilikua nafikiria sana kwann watu wenye akili hawajitokezi kujibu hoza zake lakini leo nimegundua kuwa bado hawajafikia viwango vyake...Wakili msomi DC msando kwakweli amehaibika bado siyo level za hako kajamaa kachakubanga.
 
ccm inachangisha pesa kwa ajili ya kushindana na chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm? Uchaguzi upi? Wapi? Kampeni ya nini? ccm acheni maigizo Tanzania hakuna uchaguzi kwani ccm wanayo matokeo mifukoni imebakia kutangazwa tu na wakurugenziccm, Uchaguzi bila Chadema si uchaguzi bali ni maigizo ya uchaguzi kupoteza pesa bure
 
Ni sawa na funzadume kapigwa Busu la Kenge na Baba Ndubwi
 
Polepole naye anakosea anachotakiwa kwamba aseme kwamba wafanyabiashara wote ,wameingia katika database ,na wao ndo watakuwa wacahangia mfuko hasina mana Baada ya uchaguzi na kabla Dunia imeikataa ccm na serikali ijayo nje ya chadema .....

LISU FOREVA
 
ccm wajitangazie Ufalume kama Oman au Saudi Arabia ili kusiwepo na uchaguzi maigizo kupoteza pesa bure, hizo pesa za kugharamia uchaguzi hewa feki bora zikajenge Bandari mpya kubwa mkuranga au Lindi kuondoa misongamano Dar es salaam na kuleta maendeleo Bandari za Tanga na Mtwara, meli kubwa zitie nanga huko maendeleo yasambae Nchi yote
 
CCM kufanya harambee kama hizi kuna faida na hasara lakini hasara inakuwa kubwa sana. Kwamaana chama kinatekwa inakuwa iwewapa nguvu zenu watu wengine. Wahuni hupenda kukaa ndani ya CCM ili kuitawala Serikali. Kwahiyo chama kinapaswa kuwa uhuru

View attachment 3440533
Frankly speaking hii Harambee imetengeneza doa.Kwa aina ya uchaguzi wa mwaka huu hakukua na sababu ya harambee.
 
Back
Top Bottom