Polepole: Kufanya harambee kama hizi kuna faida na hasara, lakini hasara ni kubwa zaidi. Chama kinatekwa

Polepole: Kufanya harambee kama hizi kuna faida na hasara, lakini hasara ni kubwa zaidi. Chama kinatekwa

Kutoka ubalozi cuba hadi kuishi kwa kujifichaficha kama digidigi. Kweli maisha ni fumbo.
Hapo hakuna fumbo bali Kuna watu wabaya wanaowinda watu wema ili hao watu wabaya watende ubaya wao bila ya kukemewa.

Bahati yao hao watu wabaya katikati yetu wapo wapumbavu wanaowatukuza kwa kutenda ubaya.
 
Hivi unamuwajibishaje mtu kama GSM ikiwa amekwepa kulipa kodi. Siasa za KIPUMBAVU kabisa, kama mandezi hii nchi.
 
Back
Top Bottom