Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Anachekelea tu ka zuzuuHarambee Gala ya Bilioni 100, Je chama cha wafanyakazi na wakulima kimetekwa nyara na mabwanyenye ?
Karl Marx on The Bourgeoisie & Proletariat: MABWENYEYE VS WALALAHOI
HAPA NDIPO TULIPOFIKA KWA SASA Simply put, the bourgeoisie is the oppressive class, which Karl Marx argued would be destroyed in the workers' revolution. Specifically, the bourgeoisie was the class which controlled the means of production as well as almost all of the wealth. In Swahili, the...www.jamiiforums.com
View attachment 3440539
DuhAnachekelea tu ka zuzuu
Ni sawa na funzadume kapigwa Busu la Kenge na Baba Ndubwiccm inachangisha pesa kwa ajili ya kushindana na chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm? Uchaguzi upi? Wapi? Kampeni ya nini? ccm acheni maigizo Tanzania hakuna uchaguzi kwani ccm wanayo matokeo mifukoni imebakia kutangazwa tu na wakurugenziccm, Uchaguzi bila Chadema si uchaguzi bali ni maigizo ya uchaguzi kupoteza pesa bure
ccm bila Polisiccm ni weupe sana wajitangaze ufalume tu kuliko kupoteza pesa kwa uchaguzi hewa
Kwa hio hapo itakuaje?ccm bila Polisiccm ni weupe sana wajitangaze ufalume tu kuliko kupoteza pesa kwa uchaguzi hewa
Polepole hongera. Kwa sasa wewe ndo sauti ya UMMA13 August 2025
#LIVE: POLEPOLE ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU KUHUSU HARAMBEE YA CCM
View: https://m.youtube.com/watch?v=tzmgxlO1pHs
πππAnachekelea tu ka zuzuu
Frankly speaking hii Harambee imetengeneza doa.Kwa aina ya uchaguzi wa mwaka huu hakukua na sababu ya harambee.CCM kufanya harambee kama hizi kuna faida na hasara lakini hasara inakuwa kubwa sana. Kwamaana chama kinatekwa inakuwa iwewapa nguvu zenu watu wengine. Wahuni hupenda kukaa ndani ya CCM ili kuitawala Serikali. Kwahiyo chama kinapaswa kuwa uhuru
View attachment 3440533
Kutoka ubalozi cuba hadi kuishi kwa kujifichaficha kama digidigi. Kweli maisha ni fumbo.13 August 2025
#LIVE: POLEPOLE ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU KUHUSU HARAMBEE YA CCM
View: https://m.youtube.com/watch?v=tzmgxlO1pHs