Mkuu nge akiwa na njaa huwa anajitafuna mwenyewe naomba mshukuru mola maana hii ndiyo dalili ya kuizika CCMConfirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe na Bashe.
Kwa nini wanajadiliwa?
imebainika kuwa wabunge hawa wamekuwa wakionyesha dhahiri kupingana na miiko ya chama chetu hasa kwa misimamo yao ndani na nje ya bunge.
Nappe anajadiliwa hasa kwa mwenendo wake ambao kwa Siku za hivi karibuni tokea alipotenguliwa uwaziri, amekuwa akitwiti au kuposti instagramu na kwenye mitandao mingine ya kijamii vitu vyenye utata na hasa akinonyesha dhahiri kupingana na Sera za chama. misimamo yake bungeni pia.
kwa upenda Wa Bashe sitaweza kuelezea sana kwani mtakumbuka kuwa, Bashe ni miongoni mwa wabunge waliowekwa mahali salama kipindi cha mkutano Mkuu Wa chama uliolenga kupindua katiba ya chama na kumpa mamlaka mtukufu kugombea bila kupingwa
lakini pia kinachomponza ni misimamo yake ya ndani na nje ya bunge.
Angalizo
Nikiwa miongoni mwa vijana Wa chama cha mapinduzi nalaani kwa nguvu zote mikakati yote inayofanywa yenye lengo LA kuibuka na adhabu kwa wabunge hawa
Unaelewa kukiita chama chako CCM kwamba ni chama dola unakitusi? "State Party" ilikuwa zama zile za giza la ukomunisti duniani. Ila kama CCM ina sifa za kuwa chama dola basi sawa!Whatever man, CCM ni Chama Dola, that's what matters!
Huyu si ndiyo kakabidhiwa chama!?Sasa huu uongo kikao cha chama ataitishaje mwenezi wakati yeye ni mnenguaji tu wenye band wako mapumziko??
CCM bila polisi ni wepesi kama karatasi ya kuchambia (toileti pepa).Whatever man, CCM ni Chama Dola, that's what matters!
we sasa mchochezi wa CHADEMA wana nchi yao huko kaskazini? Na ninyi nchi yenu ni ipi?HAKUNA KITU KAMA HICHO, WEWE NI LI-CHADEMA, TENA HUTUFAI KTK NCHI HII. NENDA HUKO KASKAZINI YENU.
Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
Chama lina hazina za viongozi duniani kote. Ukinyofoka nyofoka pekee yako. Mfano ni baba lenyu Mamvi liliwaingiza mkenge akina Mbowe kwamba ni bonge la asset kwa kuweza kunyofoka na vichwa kibao. Mwisho wa siku baba katumbo Mgeja mpenda Bure ndio akawa asset!!Kitaeleweka tu. CCM wawe makini, wataleta chama kipya ndani ya chama
Na wezi pia,usisahau mkuuWhatever man, CCM ni Chama Dola, that's what matters!
Hata Gaddafi alikua Dola tena ya nguvu akafia kwenye mtaro wa mavi... siongelei ya SadamWhatever man, CCM ni Chama Dola, that's what matters!
Polepole apewe ukatibu mkuu! Kama namuona akionyesha mpaka gego la mwisho!
Kama kuna ujinga kama huo, Polepole achana nao kwa maslahi ya chama chetu, tukubali mawazo mbadala ili chama kiwe salama! Nawasilisha!!!
Mmeongezewa dau ufipa sio?Confirmed from Lumumba ni kwamba kuna kikao kinapangwa kuitishwa na Polepole ( Baada ya kinana kugoma kuitisha na kusimamia kikao hiki) pamoja na mambo mengine kikiwa na ajenda ya kuwajadili Nappe na Bashe.