MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Hakuna lazaidi kuchangia tena''Nyumbu'' katika ubora wake!
Nani alikudanganya kuwa vikao vya CCM vinaitishwa kijinga jinga?
Suala unaloliona wewe kama ni tatizo kubwa kutokana na upeo wako, kwa CCM ni suala la kawaida. Nadhani hukujifunza hata kwenye suala la Lowassa na hatima yake ndani ya CCM.
Hujui kama wabunge wana caucas zao bungeni zinazowasimamia katika ajenda za kambi zao?
Suala la Nape na Bashe kama wabunge liko chini ya caucas ya wabunge wa CCM.
Uzuri ni kuwa huu uongo wako utakubalika sana kwa watu wenye fikra finyu!
umemaliza