Tetesi: Polepole Kuitisha Kikao kuwajadili Nape na Bashe, ni baada ya Kinana kugoma

Status
Not open for further replies.
Kama lipo la kurekebisha nitarekebisha nikiwa ndani ya CHAMA.
NB.CCM MALIPO NI HAPA HAPA KAMA MLIVYOCHOCHEA KUVURUGIKA KWA CUF.NA NYIE MTAVURUGIKA.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo miaka yote yapo,awam ya 4 Filikunjombe alikuwa against CCM,so kwa Bashe kwangu si shida,huyo nape ni KUPOKWA UWAZIRI NA BASHITE KUBAK NDO KUNAMUUMIZA

May Allah bless Me and You
 
Machadema[emoji2] [emoji2] [emoji2]...

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo miaka yote yapo,awam ya 4 Filikunjombe alikuwa against CCM,so kwa Bashe kwangu si shida,huyo nape ni KUPOKWA UWAZIRI NA BASHITE KUBAK NDO KUNAMUUMIZA

May Allah bless Me and You

uko sahihi mkuu
 
Reactions: SDG
Usijitie mwanaccm wakati hata hujui kanuni na taratibu za kushughulikiana kimaadili sasa Pole Pole na maswala ya maadili wapi na wapi?? Propaganda nyingine bhana embu kakojoe ulale

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Magufuli amependezwa sana na misimamo ya Bashe, na katika vikao anamasifu sana kwa ukweli na namna anavyo jenga hoja.

Kinana ndie aliyetuletea ajenda ya kuwa na wabunge wa ccm wenye uwezo wakuikosoa serekali bungeni, ili kuziba fursa kwa upizani.

Huu ni tactics mpya za chama tawala. Hakuna kitu cha vikao kuwarekebisha wabunge na kuwaweka kikaangaoni.

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 


Pole Pole nae anataka kumuonyesha mjomba Magu kuwa anafanyakazi!!....
Hapo sasa anaharibu kabisaaaa........
 
Ha ha haaaaaaaa

Huyo yupo kwenye chama chao anajifichia nyuma ya ID feki.
Na wewe haupo kwenye chama chenu. Mbona na wewe umo kwenye chama chenu na unajificha nyuma ya "Nick Name"? Pia kumbuka kwamba JF hakuna "Fake ID" kwani majina yote uyaonayo JF ndiyo yenyewe. Ukiona mtu anaitwa "Zombie" kwenye ulimwengu wa JF ndiyo jina halisi na la kwake la mitaani huku JF ndiyo feki.
 
Pole Pole nae anataka kumuonyesha mjomba Magu kuwa anafanyakazi!!....
Hapo sasa anaharibu kabisaaaa........
Polepole kwa sasa kamebadili jina kanaitwa speedspeed kamekuwa kashambenga sana kana kihele hele hakuna mfano
 

umeongea ukweli mtupu
 
Chama kimepatwa na dikteta uchwara.
Mpaka kinajiendea kama gari bovu. Wale wanaopendwa na Uchwara wanajisikia wana madaraka makubwa na kumbe sio yao. Slowslow anajisikia ndiye Katibu mkuu na Bashite anajiona huku serikalini ndiye PM. Yaani ni shida kabisa! Chama kimekuwa kama jumuia ya wale jamaa wa Gamboshi!
 
Hawa wote chama wanachokitaka hakina waumiza hawa wawili zaidi ni kukizamisha chama. Mimi sio ajabu kwani wale watu wenye ushawishi hawatakiwi ili wasimpe mfalma wasiwasi. Kwani February yuko wapi au ndo kufichwa ili asisikike kuliko mfalme ambayo ndo malengo ya mfalme na wanaomzunguka kwa kuwa na asili ya uoga. Mwenye udhubutu hatakiwi kwani ataleta ushindani ndani ya chama kwa ujumla chama kama chama tunakazi ya ziada kwa nini wanachama mwenzangu hawalioni hili linalofanyika ndani kwa linaondolea wanachama udhubutu. Anayebisha hili sawa kama ni uongo muda utasema wenyewe

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Kuna hawa Pohamba, Elungata leo wao na magufuli ni paka na panya.
Sijui kwenye ule mgao wa wakuu wa wilaya, Ma DED hawakupata ulaji?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…