Tetesi: Polepole Kuitisha Kikao kuwajadili Nape na Bashe, ni baada ya Kinana kugoma

Status
Not open for further replies.
Hakuna lazaidi kuchangia tena
umemaliza
 
Uchochezi uko wa aina nyingi

Sent from my SM-T531 using JamiiForums mobile app
 
Hata mm CCM ila hakuna sbb ya msingi ya kuwajadili au kuwaadhibu..
 
Nilijua mnamjadiri ngereja

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
CCM wanavumiliana sana ingekuwa hao wapo CHADEMA wangeshasahaulika, wawaulize akina ZITTO, KAFULILA, pindi walipotofautiana na Chama kimitizamo, nini kilitokea
 
Umeonaaaaee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukweli utadhihiri

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Nadhani chama kingewadharau tu,sidhani kama watakiathiri chama kwa hali yeyote.Ingekuwa busara kwa chama kuboresha utendaji wake ili kiweze ku-adress issues ambazo zinakuwa raised na wabunge hawa.Kuanza kupambana nao kwa njia yeyote hailipi.Chama lazima kijue kwamba wapo watu within the party ambao wana sympathize nao.Kama chama kikiwachukulia hatua hawa wabunge, kijue kwamba kwa njia moja au nyingine kinatengeneza makundi ndani ya chama,and this is not healthy for the party.
 
Jamaa anajua kutunga uongo, Nyumbu bwanaaa;

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…