GE2025 Polepole: Kuna kakikundi cha watu ndio wanapanga nani atakuwa kiongozi. Namuonea huruma Rais

GE2025 Polepole: Kuna kakikundi cha watu ndio wanapanga nani atakuwa kiongozi. Namuonea huruma Rais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Pole pole anaendelea kutema cheche. Anasema kwenye nchi hii kuna watu wachache au "kamtandao" ambako ndiko kanapanga nani awe kiongozi na nani asiwe

Polepole anasema kuna kipindi unakuta uteuzi wa kiongozi unafahamika kabla hata mkeka rasmi wa Rais haujatoka.

Anasema hako kakikundi ni kama kanamuhujumu Rais na kanaingilia masuala ya uteuzi


 
Hapo kweli Dishi limeyumba na halikamati mawimbi tena.

Hivi Leo Polepole kasahau kwamba Rais ni taasisi yenye watu wengi sana chini yake na hata teuzi na tenguzi ni maamuzi ya Taasisi?
 
Back
Top Bottom