McLaren JF-Expert Member Joined Feb 19, 2025 Posts 1,170 Reaction score 3,743 Aug 6, 2025 #1 Wakuu, Pole pole anaendelea kutema cheche. Anasema kwenye nchi hii kuna watu wachache au "kamtandao" ambako ndiko kanapanga nani awe kiongozi na nani asiwe Polepole anasema kuna kipindi unakuta uteuzi wa kiongozi unafahamika kabla hata mkeka rasmi wa Rais haujatoka. Anasema hako kakikundi ni kama kanamuhujumu Rais na kanaingilia masuala ya uteuzi Your browser is not able to display this video.
Wakuu, Pole pole anaendelea kutema cheche. Anasema kwenye nchi hii kuna watu wachache au "kamtandao" ambako ndiko kanapanga nani awe kiongozi na nani asiwe Polepole anasema kuna kipindi unakuta uteuzi wa kiongozi unafahamika kabla hata mkeka rasmi wa Rais haujatoka. Anasema hako kakikundi ni kama kanamuhujumu Rais na kanaingilia masuala ya uteuzi Your browser is not able to display this video.
K KARLO MWILAPWA JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 3,250 Reaction score 5,509 Aug 6, 2025 #2 Hapo kweli Dishi limeyumba na halikamati mawimbi tena. Hivi Leo Polepole kasahau kwamba Rais ni taasisi yenye watu wengi sana chini yake na hata teuzi na tenguzi ni maamuzi ya Taasisi?
Hapo kweli Dishi limeyumba na halikamati mawimbi tena. Hivi Leo Polepole kasahau kwamba Rais ni taasisi yenye watu wengi sana chini yake na hata teuzi na tenguzi ni maamuzi ya Taasisi?
X-Agent JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,989 Reaction score 17,113 Aug 6, 2025 #3 Mume na mke wakianza kutupiana maneno siri za vibamia na Mapango zinaanza kuanikwa
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,475 Reaction score 21,046 Aug 6, 2025 #4 Sasa hivi habari anazozungumza pole pole hata mtaani si zipo? Basi kuna ukweli
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Aug 6, 2025 #6 Polepole, wewe tema tu nyongo yote mpaka kieleweke.
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,205 Reaction score 54,699 Aug 6, 2025 #7 Polepole badilisha jina maana hili linakufanya uchelewe kufika kwenye point