johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
DAB Halafu mbona hukuja TotoAkina nani walioteuliwa wameondoka?
Haa kumbe Bashite!DAB Halafu mbona hukuja Toto
Hee kwan nimetia kifuli? Hapana Toto kupo wazi hebu njoo bhanaHaa kumbe Bashite!
Nilifika nikagonga mlango weeee bila majibu. Nitajipanga tena nirudi ila uwepo sasa.
Ngoja nitarudi baadae.Hee kwan nimetia kifuli? Hapana Toto kupo wazi hebu njoo bhana
Uje Toto pliiiiizNgoja nitarudi baadae.
Hajui waerevu ni wengi tu siku hizi wanang'amua mambo.Hii ni hadaa tu tunafanyiwa na huyu mzee Polepole. Bashite, Gambo na Mnyeti wametumwa na Mwenyekiti wakagombee. Mark my words