Polepole: Kuna wana CCM waliteuliwa hawana shukrani, waliteuliwa na Rais Magufuli 2015 leo tumefika Mtoni wanaondoka

Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema wana CCM wanapaswa kushukuru pale wanapopata na hata wanapokosa maana huo ndio utamaduni wa CCM.

Polepole amelalamika kuwa kuna watu waliteuliwa na Rais Magufuli tangu mwaka 2015 lakini leo tumefika mtoni tunataka kuvuka wao wanaondoka.

Source: Eatv
Nchi huru hii,hizo nafasi za kuteuliwa hazina uhakika,aache watu waishi ndoto zao. Nawapongeza sana waliochukua form pamoja na kuonywa kuondolewa kwenye nafasi zao,still wamechukua form.
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema wana CCM wanapaswa kushukuru pale wanapopata na hata wanapokosa maana huo ndio utamaduni wa CCM.

Polepole amelalamika kuwa kuna watu waliteuliwa na Rais Magufuli tangu mwaka 2015 lakini leo tumefika mtoni tunataka kuvuka wao wanaondoka.

Source: Eatv
Anaogopa kumtaja Makonda direct hahahaha
 
Bashite nawenzie wameteseka sana na Urc, UDC etc. kazi za stress sana hata ufanyaje bado zitaonekana dosari kibao as if hufanyi kitu! Simu kila saa mara kupelekeshwa mtu huli hata bata kwapresha zakutumbuliwa... Ubunge uhakika 5 yes pesa zakutosha namaraha ya Dom ukiwa chawa mzuri unakula na uwazir maana nikupokezana vijiti kilaleo.
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema wana CCM wanapaswa kushukuru pale wanapopata na hata wanapokosa maana huo ndio utamaduni wa CCM.

Polepole amelalamika kuwa kuna watu waliteuliwa na Rais Magufuli tangu mwaka 2015 lakini leo tumefika mtoni tunataka kuvuka wao wanaondoka.

Source: Eatv
Ndugu Pole pole mwambie rais abadilishe mfumo wa mishahara hususani wa wabunge kama mbunge anapata milioni nane kwa mwezi na allowances kibao alafu mkuu wa mkoa anapata milioni moja huoni tofauti hapo? Mimi ningeshauri kwamba mishahara yote irekebishwe pamoja na ya wabunge alafu uone hizo kelele na matusi lakini pia ruzuku za vyama vya siasa ziondolewe hizo fedha zikanunue matrekta mapori yalimwe alafu vijana wasio na ajira rasmi wagawiwe mashamba na mbegu wapewe na allowance ya kujikimu kwa muda wa mwaka hapo tutapunguza kilio cha ajira au vipi?
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema wana CCM wanapaswa kushukuru pale wanapopata na hata wanapokosa maana huo ndio utamaduni wa CCM.

Polepole amelalamika kuwa kuna watu waliteuliwa na Rais Magufuli tangu mwaka 2015 lakini leo tumefika mtoni tunataka kuvuka wao wanaondoka.

Source: Eatv
Nadhani wameanza kuchoka IBADA zenu.
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema wana CCM wanapaswa kushukuru pale wanapopata na hata wanapokosa maana huo ndio utamaduni wa CCM.

Polepole amelalamika kuwa kuna watu waliteuliwa na Rais Magufuli tangu mwaka 2015 lakini leo tumefika mtoni tunataka kuvuka wao wanaondoka.

Source: Eatv

Raisi awe makini na wakina pole pole na katibu mkuu wake. Hili swala la kutoridhika naona kama wamelipokea vibaya. Sioni sababu ya kupiga kelele kila siku kuwashambulia watu waliotimiza haki yao. Kama wanampango wa kuwakata wafanye kimya kimya otherwise watakibomoa chama kwa ndimi zao. Hawajui mioyo ya watu ikoje dhidi ya hawa anaowaita wasaliti.
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema wana CCM wanapaswa kushukuru pale wanapopata na hata wanapokosa maana huo ndio utamaduni wa CCM.

Polepole amelalamika kuwa kuna watu waliteuliwa na Rais Magufuli tangu mwaka 2015 lakini leo tumefika mtoni tunataka kuvuka wao wanaondoka.

Source: EATV
Hiyo ina maanisha kwamba wameona mtoni kuna mamba ndio maana wamegoma, na kutafuta njia nyingine ya kuvuka mto.
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema wana CCM wanapaswa kushukuru pale wanapopata na hata wanapokosa maana huo ndio utamaduni wa CCM.

Polepole amelalamika kuwa kuna watu waliteuliwa na Rais Magufuli tangu mwaka 2015 lakini leo tumefika mtoni tunataka kuvuka wao wanaondoka.

Source: EATV
Anasahau kuwa kuna watu amewanunua walipambaniwa kwa damu na jasho lakin wameondoka cdm tena kwa kashfa km kile cha wapi midomo ka kei ya punda jike
 
Serikali ipunguze visasi, kama wametema nafasi za uteuzi acha wakapambane kwenye ubunge wakishindwa watajijua maana hao ni watu wazima Wana mipango yao.

Haina haja ya kuwaapia.!
 
Back
Top Bottom