Polepole: Kuna wana CCM waliteuliwa hawana shukrani, waliteuliwa na Rais Magufuli 2015 leo tumefika Mtoni wanaondoka

Polepole: Kuna wana CCM waliteuliwa hawana shukrani, waliteuliwa na Rais Magufuli 2015 leo tumefika Mtoni wanaondoka

Kila mtu hufanya anachokiwaza au anachoona kitamsaidia hivyo si vyema kumuingilia mtu katka maamuzi yake
 
Hii vita ya manyang'au inanipa raha sana kwa kweli, chochea kuni hapo moto uwake
 
Tafsiri yake ni kuwa wengi walitaka kurudisha ofisi wakawa hawajui pa kuanzia..tuwaunge mkono kwa ujasiri
 
Kiongozi wangu pole pole with due respect usijisahau sana,
Mzee Wa kuunga mkono serikali 3
Mzee aliyesema tume huru ikiwepo ccm wanaanguka
Leo hii kabidili Gia
Bado unamuamini tu na kauli zake

Ova
 
Tatizo la kuteua wanasisa badala ya watendaji mmejitakia haya.
Pamoja na kuwanyanyasa watumishi ndiyo sababu. Rais angewaheshimu lazima utukivu ungeshamiri na wao ni muda wao wa kujipangia.
Msiwaone watumishi wametulia siku wakiamua kusimama inchi itasimama pia
 
Pamoja na kuwanyanyasa watumishi ndiyo sababu. Rais angewaheshimu lazima utukivu ungeshamiri na wao ni muda wao wa kujipangia.
Msiwaone watumishi wametulia siku wakiamua kusimama inchi itasimama pia
Hao watumishi wako wangapi bwashee?!
 
Asitudanganye. Double standard itachukua mkondo wake kama ambavyo tumeona miaka 5 iliyopita. Gambo na wengine watakatwa. Bashite atapitishwa! Kwa hili naweka mkeka hata wa sh 1m!


Ngoja tusubiri tuone.
 
Pamoja na kuwanyanyasa watumishi ndiyo sababu. Rais angewaheshimu lazima utukivu ungeshamiri na wao ni muda wao wa kujipangia.
Msiwaone watumishi wametulia siku wakiamua kusimama inchi itasimama pia

Hawa ni makada sio watumishi hivyo
 
Kwani wateuliwa wameisha, mbona mnaweweseka na haooo..
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema wana CCM wanapaswa kushukuru pale wanapopata na hata wanapokosa maana huo ndio utamaduni wa CCM.

Polepole amelalamika kuwa kuna watu waliteuliwa na Rais Magufuli tangu mwaka 2015 lakini leo tumefika mtoni tunataka kuvuka wao wanaondoka.

Source: EATV
Siku akitumbuliwa yeye ndiyo atajua kwa nini wenzake waliamua kugombea.
 
Back
Top Bottom