The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
OK, does it help?Leo Jumatano saa 2:00 Usiku saa za Afrika Mashariki nitasema nanyi kwa Habari ya Mambo mawili;-
1. Mustakabali wa mbele wa Nchi yetu na Taifa katikati ya Mkwamo tulionao, na,
2. Nitatumia muda huo kumjibu Mwana CCM aliyejitokeza hivi karibuni na kudai mie ni mvamizi kwenye CCM, majibu yangu yatawagusa wenzake kadhaa ndani ya CCM (wanajulikana).
Kupitia ujumbe wangu kwake nitafafanua namna Mtandao wa kihuni unavyobagaza Nchi yetu na unavyofedhehesha Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Ni wazi mkata swichi anakaa kimara na kwa tangazo hili hatakwenda atasubiria ofisini, hivyo mjipange ipasavyo.
Wale Diaspora na wanaofuatilia kutoka nje na wengine nchini nitaunga na Clubhouse ili mfuatilie mubashara na watu wa clubhouse leo ni zamu yenu maswali kujibiwa.
Asanteni na Mungu awabariki.
NB: Kwa wale mnaohitaji kuhakikishiwa amani ya moyo ili muwe na amani mnaweza kusoma Hagai 2:9 ππ½
Mimi ni mwananchi wa kawaida niliekusogezea ujumbe wa PolepoleThe Watchman ndiyo ID ya ndugu Polepole. Watu wanataka kusikia nani alihusika kifo cha Dkt Magufuli, maana minongβono ni mingi huku Dkt Samia na Dkt Kikwete wakihusishwa
Kuna dada mmoja hivi yutyubu anawatajataja sana jamaniiii ila sjampata vizuriThe Watchman ndiyo ID ya ndugu Polepole. Watu wanataka kusikia nani alihusika kifo cha Dkt Magufuli, maana minongβono ni mingi huku Dkt Samia na Dkt Kikwete wakihusishwa
Badilisha hapo kwenye maandishi maana unaonekana wewe ndiye uliye mwenyeweMimi ni mwananchi wa kawaida niliekusogezea ujumbe wa Polepole
Link yake mkuuKuna dada mmoja hivi yutyubu anawatajataja sana jamaniiii ila sjampata vizuri
OK, does it help?
Huo muda tutakuwa tunaangalia mechi za Taifa Stars. Hayo mazungumzo fanya na wambea wa Chadema!Huu ni ujumbe wa Humphrey Polepole kupitia ukurasa wa Instagram asubuhi hii.
Leo Jumatano saa 2:00 Usiku saa za Afrika Mashariki nitasema nanyi kwa Habari ya Mambo mawili;-
1. Mustakabali wa mbele wa Nchi yetu na Taifa katikati ya Mkwamo tulionao, na,
2. Nitatumia muda huo kumjibu Mwana CCM aliyejitokeza hivi karibuni na kudai mie ni mvamizi kwenye CCM, majibu yangu yatawagusa wenzake kadhaa ndani ya CCM (wanajulikana).
Kupitia ujumbe wangu kwake nitafafanua namna Mtandao wa kihuni unavyobagaza Nchi yetu na unavyofedhehesha Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Ni wazi mkata swichi anakaa kimara na kwa tangazo hili hatakwenda atasubiria ofisini, hivyo mjipange ipasavyo.
Wale Diaspora na wanaofuatilia kutoka nje na wengine nchini nitaunga na Clubhouse ili mfuatilie mubashara na watu wa clubhouse leo ni zamu yenu maswali kujibiwa.
Asanteni na Mungu awabariki.
NB: Kwa wale mnaohitaji kuhakikishiwa amani ya moyo ili muwe na amani mnaweza kusoma Hagai 2:9 ππ½
View attachment 3433387
Ninauhakika 100% wee ni kilaza wa akili.Watz kwa kupenda umbea lazima wananunue bundle na serikali ipate kodi kutokana na huu umbea
Gentleman,Huu ni ujumbe wa Humphrey Polepole kupitia ukurasa wa Instagram asubuhi hii.