GE2025 Polepole: Kuongea na watanzania Agost 6, saa 2:00 kuhusu mustakabali wa taifa

GE2025 Polepole: Kuongea na watanzania Agost 6, saa 2:00 kuhusu mustakabali wa taifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
A desperate man with nothing to lose is the world's greatest threat. Revolutions aren't sparked by the hungry, but by those who understand they were never meant to be part of the feast.
 
Hizi ni siasa za masuala mkuu. Zinahitaji akili kubwa siyo za kina mwijaku. Ni vizuri kama Huna interest ukaziacha zipite kwa wengine . Wewe subir kina rostam wakuletee baiskeli, t-shirt na kofta yako. Huku ukipigiwa nyimbo za taarabu na Pombe halafu ukatiki. Haya anayoongea huyu polepole wewe ni makubwa sana kwako
 
Mara nyingi mtu anayeongeaongea kwamba ana akili kubwa huwa ni kinyume chake.
 
Lakini pia chawa huwa anapenda kukaa mahali PACHAFU. Ulishawahi kumuona chawa palipo safi ili wewe uwe wa kwanza?
Ninapokaa Mimi wazazi wako, wewe, watoto wako na wajukuu zako mpaka wanafariki HAWAWEZI kufikia hata robo ya mazingira safi na mazuri ninayoishi. Na hii yote ni kwa mchango wa CCM na Serikali yake!!
 
H.Polepole ni mmoja wa watetezi wa oppressed and persucuted Christians dunia nzima, Mungu amtangulie and say no to satanic caliphate …
 
Ninapokaa Mimi wazazi wako, wewe, watoto wako na wajukuu zako mpaka wanafariki HAWAWEZI kufikia hata robo ya mazingira safi na mazuri ninayoishi. Na hii yote ni kwa mchango wa CCM na Serikali yake!!
Sawa. Lakini hii haiondoshi UCHAWA. Hivyo vitu vyote ulivyokuwa navyo vimetokana na UCHAFU WAKO na RUSHWA iliyopo ccm. Wala hukuvipata kihalali kama unavyotaka dunia ijue hapa. Kwakuwa wewe ni CHAWA unapenda kuishi pachafu.
 
Mjuba Polepole, umeambiwa uongelee reforms kama kweli we ni mzalendo na hufanyi political syndicate abracadabra. Unaonekana unafanya maigizo kuhadaa wananchi wenye haja na reforms.
 
Ohoo kataja muda,siku,na saa 😄
Mtandao lazima uzimweee
Haya andaeni popcorn 😄
Episode zinaendelea

Ova
 
Back
Top Bottom