GE2025 Polepole: Kuongea na watanzania Agost 6, saa 2:00 kuhusu mustakabali wa taifa

GE2025 Polepole: Kuongea na watanzania Agost 6, saa 2:00 kuhusu mustakabali wa taifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mjuba Polepole, umeambiwa uongelee reforms kama kweli we ni mzalendo na hufanyi political syndicate abracadabra. Unaonekana unafanya maigizo kuhadaa wananchi wenye haja na reforms.
Reforms ndani ya CCM ni muhimu pia.
Usikariri
 
ccm haikubali kushindwa, hawa kina gwajima, mpina na polepole wako kazini? Hawa ni majasusi wanamikakati. Wameamua kuifutilia mbali no reforms no election iliyokuwa inaenea kama moto wa nyika. Hata hivyo mbinu hizi za ccm zimeshitukiwa na wenye akili kubwa kuwazidi waigizaji hao.
Acha wivu,

Reforms zikianzia ndani ya CCM unaumia?

Hakipo kilichobadilika.

NRNE 💪 🔥
 
Back
Top Bottom