GE2025 Polepole: Kuongea na watanzania Agost 6, saa 2:00 kuhusu mustakabali wa taifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama Zanzibari inavyojengwa na wazanzibari, na Tanganyika itajengwa na watanganyika wenyewe.

Nitasikiliza.
 
Using wa leo Tar 6.8.2025.. Humphrey Polepole ataongea tena! Mazungumzo ya leo si mwendelezo wa yale mazungumzo yaliyopita.. Ile asilimia 25 ya mwisho ambayo ameahidi "kuongea wasiyopenda kusikia"
Mazungumzo ya leo yanatokana na mambo mawili
1. Kumjibu mwanaccm aliyemjibu
2. Kufafanua uamuzi wa mwajiri wake kumvua hadhi ya ubalozi na 'kumstaafisha kwa manufaa ya uma'
Si vema kufanya utabiri kwasasa kuwa ataongea nini lakini ni wazi anaenda kushusha kombora litakaloendelea kubomoa nyumba kuu

View: https://www.facebook.com/share/v/1CPJP8QYfj/

Naamini, Mbowe alikuwa pandikizi la ccm.
 
Asapoti NREN ndo akimaliza aje tuongee lugha moja kuhusu uzalendo .

Na atuambie je aliyemuweka korokoroni lissu ni yule muhindi tajiri au Juma kasseja (J.k ) au ni order kutoka jumba jeupe.

Tunahitaji mambo ya msingi kwakuwa MB na muda wa kumsikiliza ni gharama.

Oh maybe I'm talking with my own conscious.
 
Using wa leo Tar 6.8.2025.. Humphrey Polepole ataongea tena! Mazungumzo ya leo si mwendelezo wa yale mazungumzo yaliyopita.. Ile asilimia 25 ya mwisho ambayo ameahidi "kuongea wasiyopenda kusikia"
Mazungumzo ya leo yanatokana na mambo mawili
1. Kumjibu mwanaccm aliyemjibu
2. Kufafanua uamuzi wa mwajiri wake kumvua hadhi ya ubalozi na 'kumstaafisha kwa manufaa ya uma'
Si vema kufanya utabiri kwasasa kuwa ataongea nini lakini ni wazi anaenda kushusha kombora litakaloendelea kubomoa nyumba kuu

View: https://www.facebook.com/share/v/1CPJP8QYfj/

Mzima switch kutokea kitunda hatamuwahi akafanya vitu vyake?
 
Back
Top Bottom