Yule mtu wa kiapo anaenda taratibu atahitimisha tuKwan polepole amewahi kukinukisha kwenye lipi?
Amwage kila kitu kwa wakati mmoja aachane na mambo ya episodes.
Yule mtu wa kiapo anaenda taratibu atahitimisha tuKwan polepole amewahi kukinukisha kwenye lipi?
Amwage kila kitu kwa wakati mmoja aachane na mambo ya episodes.
Hata mimiNaamini, Mbowe alikuwa pandikizi la ccm.
Using wa leo Tar 6.8.2025.. Humphrey Polepole ataongea tena! Mazungumzo ya leo si mwendelezo wa yale mazungumzo yaliyopita.. Ile asilimia 25 ya mwisho ambayo ameahidi "kuongea wasiyopenda kusikia"
Mazungumzo ya leo yanatokana na mambo mawili
1. Kumjibu mwanaccm aliyemjibu
2. Kufafanua uamuzi wa mwajiri wake kumvua hadhi ya ubalozi na 'kumstaafisha kwa manufaa ya uma'
Si vema kufanya utabiri kwasasa kuwa ataongea nini lakini ni wazi anaenda kushusha kombora litakaloendelea kubomoa nyumba kuu
View: https://www.facebook.com/share/v/1CPJP8QYfj/
Wanajulikana, ni mbowe na genge lake msoga
Watazima networkKwanini VPN mkuu
Hapana mwana mtandao no 1Anaanza kujibishana na kina chalamila sasa
DefinitelyTuwekewe link muda huo ukifika
Aloooo 🥹
Shida anaongea nusu nusu atapike ukweli woteHapana mwana mtandao no 1
Unajua likitokea jambo baya kwa mbaya wako. Si unaona mkuu wa nchi na wengine wanavyoshangilia kifo cha Dkt Magufuli. Ila usikute wao hawajamuua..kwanini magufuli hakuwakamata, akamnyima haki ya kutibiwa kama mbunge, na akatuma mawaziri na igp kumkejeli na kumtukana Lissu?
Unajua likitokea jambo baya kwa mbaya wako. Si unaona mkuu wa nchi na wengine wanavyoshangilia kifo cha Dkt Magufuli. Ila usikute wao hawajamuua
Sana mkuu. Siyo huyo tu bali hata kifo cha Agustino Maiga kilifikirisha sana yaani kabla hata hajazikwa akaapishwa mwingine. In short tunapitia kipindi kigumu kama nchi kisa rushwa na ufisadi na tamaa ya kujilimbikizia mali na madaraka. Yaani uroho ndiyo unafanya viongozi wauane. Na hapo bado maana according to habari za watumishi wa Mungu hata bosi kubwa lazima naye afe tu ili nchi ipone. Sisi tulishamaliza kulia tunasikilizia tu maana alianza mbobezi 😂 bado wengine kibao..hata kama Magufuli hakuhusika, lakini aliyoyatenda, au yaliyotendwa na serikali yake, baada ya Lissu kuumizwa yanafikirisha sana.
Nitaghairi gameSaa 2 kuna game ila nitachek update sa 4!
NaamKwan polepole amewahi kukinukisha kwenye lipi?
Amwage kila kitu kwa wakati mmoja aachane na mambo ya episodes.
Sindano inayouma sana huchomwa taratibuShida anaongea nusu nusu atapike ukweli wote
Usiku wa leo Tar 6.8.2025.. Humphrey Polepole ataongea tena! Mazungumzo ya leo si mwendelezo wa yale mazungumzo yaliyopita.. Ile asilimia 25 ya mwisho ambayo ameahidi "kuongea wasiyopenda kusikia"