GE2025 Polepole: Kuongea na watanzania Agost 6, saa 2:00 kuhusu mustakabali wa taifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mtu kama gwajima waumini wake wanateseka bure, mara wapigwe na polisi, mara wanyimwe kusali, mchungaji wao yuko kazini kuhadaa umma uhamishe mawazo kuhusu hoja za reforms. Gwajima onea huruma waumini wako, we unajua unachokifanya
 
Huu ni ujumbe wa Humphrey Polepole kupitia ukurasa wa Instagram asubuhi hii.

Leo Jumatano saa 2:00 Usiku saa za Afrika Mashariki nitasema nanyi kwa Habari ya Mambo mawili;-

1. Mustakabali wa mbele wa Nchi yetu na Taifa katikati ya Mkwamo tulionao, na,
2. Nitatumia muda huo kumjibu Mwana CCM aliyejitokeza hivi karibuni na kudai mie ni mvamizi kwenye CCM, majibu yangu yatawagusa wenzake kadhaa ndani ya CCM (wanajulikana).

Kupitia ujumbe wangu kwake nitafafanua namna Mtandao wa kihuni unavyobagaza Nchi yetu na unavyofedhehesha Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Ni wazi mkata swichi anakaa kimara na kwa tangazo hili hatakwenda atasubiria ofisini, hivyo mjipange ipasavyo.

Wale Diaspora na wanaofuatilia kutoka nje na wengine nchini nitaunga na Clubhouse ili mfuatilie mubashara na watu wa clubhouse leo ni zamu yenu maswali kujibiwa.

Asanteni na Mungu awabariki.

NB: Kwa wale mnaohitaji kuhakikishiwa amani ya moyo ili muwe na amani mnaweza kusoma Hagai 2:9 🙏🏽

Sikosi!
 
Sisiemu Wana mbinu za Kila aina. Issue ya NRNE ndio ishazikwa hivo kupitia hizo hotuba za polepole
Mmhhh, wala hata havina uhusiano. Yaani unataka kutuaminisha kinachoendelea ni mpango wa ccm? Ccm hawana akili za hivyo boss.
 
NB: Kwa wale mnaohitaji kuhakikishiwa amani ya moyo ili muwe na amani mnaweza kusoma Hagai 2:9 🙏🏽

Haggai 2:9

New International Version

​

9 ‘The glory of this present house will be greater than the glory of the former house,’ says the Lord Almighty. ‘And in this place I will grant peace,’ declares the Lord Almighty.”
 
Comrade Polepole, hapoi!

Kwenye hii vita ya kupambana na wahuni, tuko pamoja. Ila kwenye ule usaliti wa kuipotezea Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, na pia kununua wapinzani wakati wa awamu ya tano ulipokuwa Katibu Mwenezi wa chama; hakika hatuko pamoja.
Hujamsikiliza wewe vizuri msimamo wake anaitaka rasmu ya warioba, walipoona katiba pendekezwa ndio inaenda kupitishwa waliaanza kampeni ya kuelimisha ikataliwe
 
Huu ni ujumbe wa Humphrey Polepole kupitia ukurasa wa Instagram asubuhi hii.

Leo Jumatano saa 2:00 Usiku saa za Afrika Mashariki nitasema nanyi kwa Habari ya Mambo mawili;-

1. Mustakabali wa mbele wa Nchi yetu na Taifa katikati ya Mkwamo tulionao, na,
2. Nitatumia muda huo kumjibu Mwana CCM aliyejitokeza hivi karibuni na kudai mie ni mvamizi kwenye CCM, majibu yangu yatawagusa wenzake kadhaa ndani ya CCM (wanajulikana).

Kupitia ujumbe wangu kwake nitafafanua namna Mtandao wa kihuni unavyobagaza Nchi yetu na unavyofedhehesha Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Ni wazi mkata swichi anakaa kimara na kwa tangazo hili hatakwenda atasubiria ofisini, hivyo mjipange ipasavyo.

Wale Diaspora na wanaofuatilia kutoka nje na wengine nchini nitaunga na Clubhouse ili mfuatilie mubashara na watu wa clubhouse leo ni zamu yenu maswali kujibiwa.

Asanteni na Mungu awabariki.

NB: Kwa wale mnaohitaji kuhakikishiwa amani ya moyo ili muwe na amani mnaweza kusoma Hagai 2:9 🙏🏽

Comrade Polepole, hapoi!

Kwenye hii vita ya kupambana na wahuni, tuko pamoja. Ila kwenye ule usaliti wa kuipotezea Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, na pia kununua wapinzani wakati wa awamu ya tano ulipokuwa Katibu Mwenezi wa chama; hakika hatuko pamoja.
Umesikiliza hotuba yake ya juzi kweli!?
Tatizo letu sisi Watanzania ni tabia ya kutoa maoni au shutuma bila kwanza kumsikiliza anayelengwa. Ukweli ni kwamba alieleza vizuri sana kuhusu mambo hayo, nashuku kama kweli umemsikiliza.
 
OK, does it help?
Unataka atumie mabavu Ikulu ndio muamini kuwa anasaidia?
Aisee, ujinga wa baadhi ya Watanzania umefikia hatua ya kutosaidiwa, Kwa kifupi, hamsaidiki, na kwa mtazamo huo, hata hamna haki ya kusaidiwa.
 
Na mzima switch Leo hawezi pokea amri...Ooh God of mercy mbona kama naota? Is it happening or am dreaming

What we waited for has come to pass, see what the Lord has done!
 
Usiku wa leo Tar 6.8.2025.. Humphrey Polepole ataongea tena! Mazungumzo ya leo si mwendelezo wa yale mazungumzo yaliyopita.. Ile asilimia 25 ya mwisho ambayo ameahidi "kuongea wasiyopenda kusikia"
Mazungumzo ya leo yanatokana na mambo mawili
1. Kumjibu mwanaccm aliyemjibu
2. Kufafanua uamuzi wa mwajiri wake kumvua hadhi ya ubalozi na 'kumstaafisha kwa manufaa ya uma'
Si vema kufanya utabiri kwasasa kuwa ataongea nini lakini ni wazi anaenda kushusha kombora litakaloendelea kubomoa nyumba kuu

View: https://www.facebook.com/share/v/1CPJP8QYfj/
 
1754448578866.jpg
 
Gentleman,
kwamba kuna wadau wako serious kabisaa kupotoshwa na mnafiki huyu asie na athari zozote za kisiasa?🐒
Mimi ni mmoja wa hao wadau wa kupotoshwa!
Najisikitikia ila napenda kusikiliza then naamua cha kufanya
 
Huu ni ujumbe wa Humphrey Polepole kupitia ukurasa wa Instagram asubuhi hii.

Leo Jumatano saa 2:00 Usiku saa za Afrika Mashariki nitasema nanyi kwa Habari ya Mambo mawili;-

1. Mustakabali wa mbele wa Nchi yetu na Taifa katikati ya Mkwamo tulionao, na,
2. Nitatumia muda huo kumjibu Mwana CCM aliyejitokeza hivi karibuni na kudai mie ni mvamizi kwenye CCM, majibu yangu yatawagusa wenzake kadhaa ndani ya CCM (wanajulikana).

Pia soma >> Press za Polepole kwa sasa hazina tija

Kupitia ujumbe wangu kwake nitafafanua namna Mtandao wa kihuni unavyobagaza Nchi yetu na unavyofedhehesha Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Ni wazi mkata swichi anakaa kimara na kwa tangazo hili hatakwenda atasubiria ofisini, hivyo mjipange ipasavyo.

Wale Diaspora na wanaofuatilia kutoka nje na wengine nchini nitaunga na Clubhouse ili mfuatilie mubashara na watu wa clubhouse leo ni zamu yenu maswali kujibiwa.

Asanteni na Mungu awabariki.

NB: Kwa wale mnaohitaji kuhakikishiwa amani ya moyo ili muwe na amani mnaweza kusoma Hagai 2:9 🙏🏽

Huyu nae awe anaibuka ghafla tu, hii kutoa taarifa anasababisha you tube, Facebook na Instagram kuzimwa.
 
Afadhali aongee ili japo chadema wapate la kuongelea
 
Huu ni ujumbe wa Humphrey Polepole kupitia ukurasa wa Instagram asubuhi hii.

Leo Jumatano saa 2:00 Usiku saa za Afrika Mashariki nitasema nanyi kwa Habari ya Mambo mawili;-

1. Mustakabali wa mbele wa Nchi yetu na Taifa katikati ya Mkwamo tulionao, na,
2. Nitatumia muda huo kumjibu Mwana CCM aliyejitokeza hivi karibuni na kudai mie ni mvamizi kwenye CCM, majibu yangu yatawagusa wenzake kadhaa ndani ya CCM (wanajulikana).

Pia soma >> Press za Polepole kwa sasa hazina tija

Kupitia ujumbe wangu kwake nitafafanua namna Mtandao wa kihuni unavyobagaza Nchi yetu na unavyofedhehesha Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Ni wazi mkata swichi anakaa kimara na kwa tangazo hili hatakwenda atasubiria ofisini, hivyo mjipange ipasavyo.

Wale Diaspora na wanaofuatilia kutoka nje na wengine nchini nitaunga na Clubhouse ili mfuatilie mubashara na watu wa clubhouse leo ni zamu yenu maswali kujibiwa.

Asanteni na Mungu awabariki.

NB: Kwa wale mnaohitaji kuhakikishiwa amani ya moyo ili muwe na amani mnaweza kusoma Hagai 2:9 🙏🏽

Hapa ni waaaapi. ???!
Na huyo Njomba wa waaapi ??!!
Ngoja Tusubiri tuone mziki huo 😳 !
 
Knowing the truth that doesnt change a thing is a waste of resources.
Kabisa !
Chamani wote wanajua Ukweli kwamba hakuna mwenye ubavu wa kumtingisha Mwenyekiti na wakitoka nje ya Chama ndo kabisaaaa hawathubutu 😳🤷🏿‍♂️
🤣🤣😅😅😂😂 !
Na huo ndio Ukweli ! Mengine yote ni Abracadabra tu zisizokuwa na maana !
 
Back
Top Bottom