Sio serikali bali wapuuzi fulani wachache.Ajabu serekali inaminya mitandao kwenye kupata huko huko.
Sio serikali bali wapuuzi fulani wachache.Ajabu serekali inaminya mitandao kwenye kupata huko huko.
wale wale tu..ndo maana wenzao wanakimbia...wazee wa tutakinukisha.CHADEMA wapo upstair mjuba, hawa hawatanii, ona kibano wanachopewa, anzia na mwenyekiti wake.
Wewe amewahi kukuchomolea panga ?Mama yenu hataki kuambiwa ukweli akiambiwa ukweli anachomoa panga
Alinichomolea titiWewe amewahi kukuchomolea panga ?
Na serekali iwakalie kimya hao wahuni?!Sio serikali bali wapuuzi fulani wachache.
Kwa sababu kuna matakaba, kuna wenye meno makali na wenye meno butu.Na serekali iwakalie kimya hao wahuni?!
Nadhani wakupewa dawa ya kumuondoa usingizini ni wewe.He looks adicted, (surfering from substance use disorder) Kule Cuba lazima walimchanyia madawa ya kulevya na chakula,
Naomba apewe msaada haraka.
Ulivyo kilaza umeona kuwa ni umbeaWatz kwa kupenda umbea lazima wananunue bundle na serikali ipate kodi kutokana na huu umbea
Usivyo kilaza umeona kuwa hizo ni hoja za kuleta mabadilikoUlivyo kilaza umeona kuwa ni umbea
Wao wazime internet nchi nzima kabisa, na sio kupiga pin baadhi ya platform huku watu wana ma VPN kwenye simu zao na simu zingine zinakuja na inbuilt VPNOhoo kataja muda,siku,na saa 😄
Mtandao lazima uzimweee
Haya andaeni popcorn 😄
Episode zinaendelea
Ova
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Watz kwa kupenda umbea lazima wananunue bundle na serikali ipate kodi kutokana na huu umbea
Huyu jamaa bana enzi za magufuli si ndio alitumika kununua wapinzani Ili waunge mkono juhudi?Akiimgia LIVE wanazima mtandao sisi wengine tunafanya biashara ambazo zinategemea mitandao
Kwanini asitumie njia ya kuji-record na kupost .
Au anatumika na watu wa system kwakuwa sioni mantiki yake kwa sasa .
Anazunguka mbuyu
Muhuni huyoHuyu jamaa bana enzi za magufuli si ndio alitumika kununua wapinzani Ili waunge mkono juhudi?
Kashiriki kuisaliti mchakato wa katiba wanaupiga chini na JPM
ccm haikubali kushindwa, hawa kina gwajima, mpina na polepole wako kazini? Hawa ni majasusi wanamikakati. Wameamua kuifutilia mbali no reforms no election iliyokuwa inaenea kama moto wa nyika. Hata hivyo mbinu hizi za ccm zimeshitukiwa na wenye akili kubwa kuwazidi waigizaji hao.Sisiemu Wana mbinu za Kila aina. Issue ya NRNE ndio ishazikwa hivo kupitia hizo hotuba za polepole