Polepole, kupanda ndege siyo anasa na wala kusafiri kwa barabara siyo kigezo cha kuwapenda masikini

Nikiwa Kijiwe Changu Cha kunywa Al Kasus Hapa Tandale Nimepelekwa mbali kifikra na mh.Polepole.....

NINAMFIKIRIA MH.MEMBE NA WALE WENZAKE kuhusu ule msaada wa VYANDARUA....

Mh.Membe akiwa waziri Mara tu baada ya kupanda NDEGE kutoka UGHAIBUNI na kurudi nyumbani tulifanikiwa kupata ule msaada wa VYANDARUA(ITN) kutoka kwa "mjomba" George Bush..........

Watu walipanda NDEGE na kugharamiwa kiasi kikubwa cha fedha za wavuja jasho wa nchi hii, eti lengo ni KUPEWA VYANDARUA, really?!!!!

Ndio mana nilipomsikiliza Polepole Akichambua UMUHIMU WA TANZANIA YA VIWANDA Kwan awamu hii huwa ninamuelewa anamaanisha nini........

Nina imani serikali hii itatufanikishia adhma yake ya kutujengea ama kushawishi UWEKEZAJI WA VIWANDA VYA DAWA ikiwemo VIDONGE DHIDI YÀ VIRUSI VYA UKIMWI(ARVs).
 
" Rais Magufuli hajawahi kwenda Ulaya wala Marekani hiyo shobo hana, wengine wanapenda kupanda ndege yeye anapita kwenye barabara hizi hizi ndiyo maana watu masikini ni mtu wao kwa sababu anafahamu changamoto zao " Humphrey Polepole

EastAfricaRadio

Mimi ni mwana CCM Mwenzako na wala sifichi / sijifichi na namkubali mno Rais Dkt. Magufuli ila ' ninakereka ' mno na Ujengaji wa Hoja Ukiongea.
Hoja aliyoiraise Polepole ni kuwa mkuu wa nchi anapotumia gari kwenye ziara zake anakutana na wananchi wake na anapofahamu kero zao ndio anapata picha kamili ya nchi anayoitawala ipo vipi. Kuliko kuwa unaruka na ndege tu huku hujui kama wananchi wako wana kero zipi.
 
Facts.
 
" Rais Magufuli hajawahi kwenda Ulaya wala Marekani hiyo shobo hana, wengine wanapenda kupanda ndege yeye anapita kwenye barabara hizi hizi ndiyo maana watu masikini ni mtu wao kwa sababu anafahamu changamoto zao " Humphrey Polepole

EastAfricaRadio

Mimi ni mwana CCM Mwenzako na wala sifichi / sijifichi na namkubali mno Rais Dkt. Magufuli ila ' ninakereka ' mno na Ujengaji wa Hoja Ukiongea.
Lugha anayoitumia Polepole Kuna hadhira anayoilenga.

Mbaya zaidi kwa hiyo lugha anaeleweka vizuri sana kwa kada husika.
 
" Rais Magufuli hajawahi kwenda Ulaya wala Marekani hiyo shobo hana, wengine wanapenda kupanda ndege yeye anapita kwenye barabara hizi hizi ndiyo maana watu masikini ni mtu wao kwa sababu anafahamu changamoto zao " Humphrey Polepole

EastAfricaRadio

Mimi ni mwana CCM Mwenzako na wala sifichi / sijifichi na namkubali mno Rais Dkt. Magufuli ila ' ninakereka ' mno na Ujengaji wa Hoja Ukiongea.
Kuwapenda wananchi ni kutembea kwa miguu kama wao
 
Usafiri wa barabara anaotumia Magufuli ni gharama kubwa na mzigo kwa hao wanyonge kuliko angetumia ndege,ni bahati mbaya watanzania hawana uwezo wa kulielewa hili,na hilo la kutokwenda ulaya si kwamba haendi kwa kuwa anatupenda sana bali his incompetency,kazi ya baba si kujenga na kuangalia nyumba tu bali kutengeza connects kwa maslahi mapana ya familia na hasa watoto wake
Msafara una magari 80 helicopter
 
" Rais Magufuli hajawahi kwenda Ulaya wala Marekani hiyo shobo hana, wengine wanapenda kupanda ndege yeye anapita kwenye barabara hizi hizi ndiyo maana watu masikini ni mtu wao kwa sababu anafahamu changamoto zao " Humphrey Polepole

EastAfricaRadio

Mimi ni mwana CCM Mwenzako na wala sifichi / sijifichi na namkubali mno Rais Dkt. Magufuli ila ' ninakereka ' mno na Ujengaji wa Hoja Ukiongea.
Anasafiri na barabara msafara wa magari zaidi ya 100 , Helcopter + Hospital(Ambulance) + Flying Doctors! Gharama zake ni zaidi ya 2B+ ambapo ni bora angepanda ndege gharama zingepungua maana wangeenda wachache tu!!
 
Kama angekuwa anajenga hoja mpaka kina Mnyika wanamshindwa, matumizi ya watu wasiojulikana na vyombo vya dola ni ya nini?
Wanaotukana na kuchochea maasi bila kujenga hoja. Wanao wakifanya ujinga hutandikagi au we bado mtoto?
Wapinzani wakileta utoto inabidi wafinywe kidogo japo yarisasi haifai
 
Back
Top Bottom