Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,245
Ofisi ya Rais ni sehemu ya taasisi ya Urais.Hakuna taasisi ya Urais, kuna taasisi ya ofisi ya rais.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ofisi ya Rais ni sehemu ya taasisi ya Urais.Hakuna taasisi ya Urais, kuna taasisi ya ofisi ya rais.
Kwa misingi hiyo serikali nzima ni sehemu ya taasisi hiyo ya kufikirika.Ofisi ya Rais ni sehemu ya taasisi ya Urais.
Hata China hajaenda nako kuna malkia? Tusishabikie ujingaTatizo hawezi kijieleza kwa kimalkia, hivyo anaona aibu ya kujidhalilisha. Heri nusu shari kuliko shari kamili.
mr chopa mkuu ulipotea ulikuwa umeenda kuchukua fomu?Kwani una ugomvi nae mbona wakazana kumshambulia kwa kumfungulia threads Kama vile Ni hawara wake amekupiga chini
Hoja aliyoiraise Polepole ni kuwa mkuu wa nchi anapotumia gari kwenye ziara zake anakutana na wananchi wake na anapofahamu kero zao ndio anapata picha kamili ya nchi anayoitawala ipo vipi. Kuliko kuwa unaruka na ndege tu huku hujui kama wananchi wako wana kero zipi." Rais Magufuli hajawahi kwenda Ulaya wala Marekani hiyo shobo hana, wengine wanapenda kupanda ndege yeye anapita kwenye barabara hizi hizi ndiyo maana watu masikini ni mtu wao kwa sababu anafahamu changamoto zao " Humphrey Polepole
EastAfricaRadio
Mimi ni mwana CCM Mwenzako na wala sifichi / sijifichi na namkubali mno Rais Dkt. Magufuli ila ' ninakereka ' mno na Ujengaji wa Hoja Ukiongea.
Mjinga ni wewe unayeficha ukweli! Kwani China ni sehemu ya Commonwealth?Hata China hajaenda nako kuna malkia? Tusishabikie ujinga
Hoja aliyoiraise Polepole ni kuwa mkuu wa nchi anapotumia gari kwenye ziara zake anakutana na wananchi wake na anapofahamu kero zao ndio anapata picha kamili ya nchi anayoitawala ipo vipi. Kuliko kuwa unaruka na ndege tu huku hujui kama wananchi wako wana kero zipi.
Bora yauwane kabsaMgambo wanaruka na kukanyagana! [emoji125][emoji125]
Ni vigumu sana kwa sasa kumtofautisha Polepole na Lusinde na Good luck Mlinga na Bashite na Kabudi.Mbaya zaidi Polepole ndiyo choir master wa 'Mataga Praise Team'
Lugha anayoitumia Polepole Kuna hadhira anayoilenga." Rais Magufuli hajawahi kwenda Ulaya wala Marekani hiyo shobo hana, wengine wanapenda kupanda ndege yeye anapita kwenye barabara hizi hizi ndiyo maana watu masikini ni mtu wao kwa sababu anafahamu changamoto zao " Humphrey Polepole
EastAfricaRadio
Mimi ni mwana CCM Mwenzako na wala sifichi / sijifichi na namkubali mno Rais Dkt. Magufuli ila ' ninakereka ' mno na Ujengaji wa Hoja Ukiongea.
Kuwapenda wananchi ni kutembea kwa miguu kama wao" Rais Magufuli hajawahi kwenda Ulaya wala Marekani hiyo shobo hana, wengine wanapenda kupanda ndege yeye anapita kwenye barabara hizi hizi ndiyo maana watu masikini ni mtu wao kwa sababu anafahamu changamoto zao " Humphrey Polepole
EastAfricaRadio
Mimi ni mwana CCM Mwenzako na wala sifichi / sijifichi na namkubali mno Rais Dkt. Magufuli ila ' ninakereka ' mno na Ujengaji wa Hoja Ukiongea.
Msafara una magari 80 helicopterUsafiri wa barabara anaotumia Magufuli ni gharama kubwa na mzigo kwa hao wanyonge kuliko angetumia ndege,ni bahati mbaya watanzania hawana uwezo wa kulielewa hili,na hilo la kutokwenda ulaya si kwamba haendi kwa kuwa anatupenda sana bali his incompetency,kazi ya baba si kujenga na kuangalia nyumba tu bali kutengeza connects kwa maslahi mapana ya familia na hasa watoto wake
Mh...!!Mpumbavu / Popoma aliyetukuka kama Yeye ana ' Ubavu ' wa Kuchukua Fomu Mkuu? Kama ' Akili ' tu hana nani apoteze muda wake Kumchagua?
Cc: mr chopa
Anasafiri na barabara msafara wa magari zaidi ya 100 , Helcopter + Hospital(Ambulance) + Flying Doctors! Gharama zake ni zaidi ya 2B+ ambapo ni bora angepanda ndege gharama zingepungua maana wangeenda wachache tu!!" Rais Magufuli hajawahi kwenda Ulaya wala Marekani hiyo shobo hana, wengine wanapenda kupanda ndege yeye anapita kwenye barabara hizi hizi ndiyo maana watu masikini ni mtu wao kwa sababu anafahamu changamoto zao " Humphrey Polepole
EastAfricaRadio
Mimi ni mwana CCM Mwenzako na wala sifichi / sijifichi na namkubali mno Rais Dkt. Magufuli ila ' ninakereka ' mno na Ujengaji wa Hoja Ukiongea.
Wanaotukana na kuchochea maasi bila kujenga hoja. Wanao wakifanya ujinga hutandikagi au we bado mtoto?Kama angekuwa anajenga hoja mpaka kina Mnyika wanamshindwa, matumizi ya watu wasiojulikana na vyombo vya dola ni ya nini?