The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,928
Mavi hayana mwiba lakini ukiyakanyaga lazima uchechemee na kukosa kujiamini.
Uliamini habari ya Sweden?Kutoka Sweden?
Wahuni walianza kupindisha habari; kaona anyooke nao.Nilijua tu atafanya hivyo au kuhojiwa na media za kimataifa. Nilikuwa nasubiri siku na saa tu yatimie. Naona sasa yanakwenda kutimia.
ANGALIZO: Asitumie nafasi hiyo kupoza makali ya alichokisema kwenye barua yake.
Kwa maneno mengine, asimamie ukweli, wa alichokisema, ajibu shutuma na propaganda zinazoelekezea kwake na kamwe mkutano huo na waandishi usigeuka kuwa ni DAMEGA CONTROL kwa faida ya watesi wa Taifa hili.
Zaidi, afunguke na afafanue kwa kirefu na kwa mifano hai juu ya yote aliyoyasema.
Nimeogopa sana 🐼View attachment 3406910Siku chache baada ya kutangaza kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba na visiwa vya Jirani, Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho wakati wa utawawala wa hayati Rais Magufuli, Humphrey Polepole ameitisha Press kwaajili ya kutoa ufafanuzi wa Barua yake ya kujiuzulu hapo Julai 17.
Je, Serikali itaruhusu hiyo Press?
Mwite Lucas ajibu ile barua kama alivyoahidi si upo karibu nae hapo. Polepoke angependa kufafanua pia bubujiko la Lucas hiyo tarehe 17Nimeogopa sana 🐼
CHawa mwashambwa aliahidi kuijibu barua yake, sasa ataijibu kabla ya press au anasubiri press kwanza.View attachment 3406910Siku chache baada ya kutangaza kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba na visiwa vya Jirani, Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho wakati wa utawawala wa hayati Rais Magufuli, Humphrey Polepole ameitisha Press kwaajili ya kutoa ufafanuzi wa Barua yake ya kujiuzulu hapo Julai 17.
Je, Serikali itaruhusu hiyo Press?
unadhani yuko Mchamba wima?Uliamini habari ya Sweden?
Hivi amebahatika kupata mtoto huyu jamaa?View attachment 3406910Siku chache baada ya kutangaza kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba na visiwa vya Jirani, Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho wakati wa utawawala wa hayati Rais Magufuli, Humphrey Polepole ameitisha Press kwaajili ya kutoa ufafanuzi wa Barua yake ya kujiuzulu hapo Julai 17.
Je, Serikali itaruhusu hiyo Press?
View attachment 3406910Siku chache baada ya kutangaza kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba na visiwa vya Jirani, Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho wakati wa utawawala wa hayati Rais Magufuli, Humphrey Polepole ameitisha Press kwaajili ya kutoa ufafanuzi wa Barua yake ya kujiuzulu hapo Julai 17.
Je, Serikali itaruhusu hiyo Press?
Yupo hapa hapa bongo. Hajaenda popoteunadhani yuko Mchamba wima?
Huko mbali, Gwajima mwenyewe aliweza maana alifanya suprise. Lakini press ya pili hadi leo hajaweza.You tube chanel's zitafungiwa zote!