Wanaburuzwa wala hawapendiAngeweka taarifa yake X tu,
vyombo vya habari siyo huru, karibia vyote ni ma CHAWA wa Mbogamboga
Nani kasahau Nape alipo jaribu alitolewa bastola hadharani na akaufyata hadi kutembea umbali kwenda kuomba msamaha kwa MwendazakeView attachment 3406910Siku chache baada ya kutangaza kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba na visiwa vya Jirani, Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho wakati wa utawawala wa hayati Rais Magufuli, Humphrey Polepole ameitisha Press kwaajili ya kutoa ufafanuzi wa Barua yake ya kujiuzulu hapo Julai 17.
Je, Serikali itaruhusu hiyo Press?
Alibagaza kinyesi usoni sasa anaamua kuharisha kabisaView attachment 3406910Siku chache baada ya kutangaza kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba na visiwa vya Jirani, Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho wakati wa utawawala wa hayati Rais Magufuli, Humphrey Polepole ameitisha Press kwaajili ya kutoa ufafanuzi wa Barua yake ya kujiuzulu hapo Julai 17.
Je, Serikali itaruhusu hiyo Press?
Wewe pandikizi, kwahiyo ulitaka Polepole aufyate, sivyo? Serikali ya wafiraji na wauaji hawatakiwi kupewa nafasi ya kufanya watakalo tu.Kumbe hajielewi huyo Jamaa,subiri aone kitakachotokea!!!
Anatafuta kuchosha watu na #FreePolepole #DeadOrAlive.
Wenye Mama yao hawatanii hata ukosoaji wa kawaida tu!!
Maji yameloa KamandaMaji yashakorogeka
Club houseUkumbi wa online bila shaka
Yesu wa Nazareth alipata mtoto?Hivi amebahatika kupata mtoto huyu jamaa?
Kwahiyo hiyo ndio inayopelekea nae asiwe na mtoto?Yesu wa Nazareth alipata mtoto?
Anna Makinda ana mtoto?
Benjamin William Mkapa ana mtoto?
Mmili wa makampuni ya Tata ana mtoto?
Anna Makinda ana mtoto/watoto?Kwahiyo hiyo ndio inayopelekea nae asiwe na mtoto?
Ndie mkewe polepole?Anna Makinda ana mtoto/watoto?
Wewe wasemaNdie mkewe polepole?
Ccm ni tumaini la watz walio wengi ndio maana viongozi wote mashuhuri nchini wana kadi za Ccm japo hawawezi kuzionesha.Safi sana kijana, CCM na Iddi Amin Mama wasipate muda wa kupumua kabisa. Ni moto juu ya moto tu.
Kuna watu wanachukua kadi za ccm kwa sababu yaCcm ni tumaini la watz walio wengi ndio maana viongozi wote mashuhuri nchini wana kadi za Ccm japo hawawezi kuzionesha.