Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17, 2025

Nina hakika sio vyombo vya Tz.

Ninavyojua Hadija Kopa wa mchongo atamuagizia Bilionea Aijipii atandaze vijana kila sehemu.

Kuna dalili hiyo siku mitandao yote ikawa na hitiliafu ya internet.
 
Nasubiria "nyongeza kidogo", pole pole hajawahi kuniangusha😀, yaani wahuni ndio wako busy kumjibu na kumkashifu kweli??.... Pole pole nakusibiria usiniangushe nduguyo🤣
 
Anazungumza akiwa wapi?Atuambie kwa nini uzalendo wake uliishia kwenye kukusanya maoni ya wananchi ya katiba mpya?Aeleze pia kwa nini alikuwa anatetea kwa nguvu zote utawala katili wa Magu
 
Kumbe hajielewi huyo Jamaa,subiri aone kitakachotokea!!!

Anatafuta kuchosha watu na #FreePolepole #DeadOrAlive.

Wenye Mama yao hawatanii hata ukosoaji wa kawaida tu!!
 
Polepole ndiye Yuda wetu ambaye amemkana Samia mara 3 ili asulubishwe (Samia) na Tanganyika ipate kukombolewa.
 
Labda azungumzie huko ughaibuni lakini kwa hapa wale wafiraji wanaovaa uniform watazuia hiyo press na yeye watamchukua wakamlawiti.
 
Majizi ya Ccm yamekasirika na Nyumbu wa chadema wanafurahia
 
Anazungumza akiwa wapi?Atuambie kwa nini uzalendo wake uliishia kwenye kukusanya maoni ya wananchi ya katiba mpya?Aeleze pia kwa nini alikuwa anatetea kwa nguvu zote utawala katili wa Magu
Kuna tatizo kubwa kwa sasa nchini la watu kutokujua kusoma. Huoni kaweka Tanzania hapo?
 
Polepole ndiye Yuda wetu ambaye amemkana Samia mara 3 ili asulubishwe (Samia) na Tanganyika ipate kukombolewa.
Mmmh andiko lako jalijakaa sawa, chomoa neno 'Yuda' ueeke 'mtu' itasokea vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…