super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 2,339
- 1,888
Haogopi kutekwa???View attachment 3406910Siku chache baada ya kutangaza kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba na visiwa vya Jirani, Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho wakati wa utawawala wa hayati Rais Magufuli, Humphrey Polepole ameitisha Press kwaajili ya kutoa ufafanuzi wa Barua yake ya kujiuzulu hapo Julai 17.
Je, Serikali itaruhusu hiyo Press?
Wahuni watamzuia Kama yupo nchini.View attachment 3406910Siku chache baada ya kutangaza kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba na visiwa vya Jirani, Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho wakati wa utawawala wa hayati Rais Magufuli, Humphrey Polepole ameitisha Press kwaajili ya kutoa ufafanuzi wa Barua yake ya kujiuzulu hapo Julai 17.
Je, Serikali itaruhusu hiyo Press?
UHAMISHONI ???!!oversea
Wapo wengi sana hao hasa wale wanaopenda kusema mimi sina chama.Kuna watu wanachukua kadi za ccm kwa sababu ya
Kuna kisiwa ili upate kazi yoyote serikalini au kwenye taasisi au mafunzo ya kujiunga na vikosi vya askari ni sharti uwe kwenye system ya chama, uonekane Ccm vijana au wazazi laa sivyo hata uwe na vigezo vyote huchukuliwi.Wapo wengi sana hao hasa wale wanaopenda kusema mimi sina chama.