Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Polepole: Haiwezekani Zanzibar Matibabu bure, alafu Tanzania Bara wanalipia hii inaua umoja
Yalianza 1964 baada ya Karume kufanya Mapinduzi tu, lakini cha ajabu Nyerere alishindwa kutoa huduma bure baada ya kupewa uhuru wa Tanganyika.Matibabu bure huku Unguja yalianza rasmi mwaka gani...??
Nimeukiza tu ili nipate uelewa wakuu, ofisi isije ikavamiwa again
Matibabu bure huku Unguja yalianza rasmi mwaka gani...??
Nimeukiza tu ili nipate uelewa wakuu, ofisi isije ikavamiwa again
Tangu miaka ya 60 kwa Uwezo gani walionao? Wakati hata Madeni ya umeme Tanesco Tunalipia sie wa bara.Write your reply...pole kesha waona wafuasi wake vilaza wanakubali kila analo waambia.kwa taarifa zanzibar wanatoa matibabu bure tangu miaka ya sitini .je kipindi cha jiwe tanganyika ilikua inatoa bure?
Huku Znz tuna serekali yetu na chombo chetu cha kukusanya mapato , polepole acha choyo na husda na chokochokoPolepole: Haiwezekani Zanzibar Matibabu bure, alafu Tanzania Bara wanalipia hii inaua umoja
Ni kweli huduma za afya ni bure ukienda Hospital za serikali.Tangu miaka ya 60 kwa Uwezo gani walionao? Wakati hata Madeni ya umeme Tanesco Tunalipia sie wa bara.
Lol
Zanzibar bajeti yake ni wastani wa Tirioni 2, Tanzania Bara bajeti yake ni wastani wa Tirioni 60. Ni uamuzi tu mana Tanzania Bara bajeti yake ni kubwa pia.Huku Znz tuna serekali yetu na chombo chetu cha kukusanya mapato , polepole acha choyo na husda na chokochoko
Wazenji wanaishi kwa raha ndio maana wao maduka kufungua saa nne, na vijana kushinda tu ufukweni...
Nipo Pemba hapaZanzibar bajeti yake ni wastani wa Tirioni 2, Tanzania Bara bajeti yake ni wastani wa Tirioni 60. Ni uamuzi tu mana Tanzania Bara bajeti yake ni kubwa pia.
Pole sanaTangu miaka ya 60 kwa Uwezo gani walionao? Wakati hata Madeni ya umeme Tanesco Tunalipia sie wa bara.
Lol