GE2025 Polepole: Mama haiwezekani Zanzibar Matibabu bure, halafu Tanzania Bara wanalipia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ndyo muungano huo.tanganyka koloni la zanzbar
 
Matibabu bure huku Unguja yalianza rasmi mwaka gani...??
Nimeukiza tu ili nipate uelewa wakuu, ofisi isije ikavamiwa again
Yalianza 1964 baada ya Karume kufanya Mapinduzi tu, lakini cha ajabu Nyerere alishindwa kutoa huduma bure baada ya kupewa uhuru wa Tanganyika.
 
Write your reply...pole kesha waona wafuasi wake vilaza wanakubali kila analo waambia.kwa taarifa zanzibar wanatoa matibabu bure tangu miaka ya sitini .je kipindi cha jiwe tanganyika ilikua inatoa bure?
 
Write your reply...pole kesha waona wafuasi wake vilaza wanakubali kila analo waambia.kwa taarifa zanzibar wanatoa matibabu bure tangu miaka ya sitini .je kipindi cha jiwe tanganyika ilikua inatoa bure?
Tangu miaka ya 60 kwa Uwezo gani walionao? Wakati hata Madeni ya umeme Tanesco Tunalipia sie wa bara.
Lol
 
Zanzibar ni ndogo sana inamikoa mitano tu afu idadi ya watu niwachache kulinganisha na bara nazani hio itakuwa ni sababu
 
Tangu miaka ya 60 kwa Uwezo gani walionao? Wakati hata Madeni ya umeme Tanesco Tunalipia sie wa bara.
Lol
Ni kweli huduma za afya ni bure ukienda Hospital za serikali.
Na kila wilaya wamejenga Hospital kubwa.
 
Huyu Polepole anavyobwatuka ndio anazidi kudhihirisha kipeo chake Cha ujinga.
 
Huku Znz tuna serekali yetu na chombo chetu cha kukusanya mapato , polepole acha choyo na husda na chokochoko
Zanzibar bajeti yake ni wastani wa Tirioni 2, Tanzania Bara bajeti yake ni wastani wa Tirioni 60. Ni uamuzi tu mana Tanzania Bara bajeti yake ni kubwa pia.
 
Wazenji wanaishi kwa raha ndio maana wao maduka kufungua saa nne, na vijana kushinda tu ufukweni...

Kuna namna akili za Wazanzinar haziko sawa, Ni kama wanawaza sana Maisha ya akhera kuriko duniani.

Hawajishughurishi sana na wanapenda kupewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…