Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

Hana madhara na ndio mana wenye chama chao wanaendelea ni michakato yao huku yeye akiendelea kubwatabwata kukufurahisheni nyie mashabiki wake
Sawa sawa,ili kutufurahishaa mitandaoo isizimwe tumsikiee
Maana wengine tz ni sawa na tunaangalia chanel ya komedi

Ova
 
Kwan wewe ukiwa na dhambi ukitubu kwa mungu hatakusamehe? Kupanga n kuchagua mkuu.na polepole ametubu amerudi kundini wala usimnange yy amechagua
Nyie ni nyumbu hamna akili kabisa.... mtu kashiriki kuwafanyia kila aina ya uovu leo hii ni shujaa wenu. Inasikitisha kuwa na upinzani wa aina hii.
 
Nyie ni nyumbu hamna akili kabisa.... mtu kashiriki kuwafanyia kila aina ya uovu leo hii ni shujaa wenu. Inasikitisha kuwa na upinzani wa aina hii.
Kwan ukitenda dhambi ukimwomba mungu hatakusamehe? Shida iko wapi
 
Ukiwa afisa wa Serikali ngazi ya mwandamizi, unakuwa na access na confidential, secret na top secret ambazo anazipata as privileged info, kiapo cha kazi hakiruhusu.

Nahisi anachotaka kufanya ni kuusema ule ukweli wa 17th March, 2021. What for?

P

Kwahiyo hata kama kuna "state capture" ukae kimya kwasababu kiapo hakitaki useme?
System imetekwa wenye nchi (wananchi) hawafahamu na wanaishi wakiamini mambo yako sawa na wazalendo wako kazini ilihali wanaowaamini ni wazalendo sio wazalendo basi ukae kimya kwasababu ya kiapo.

Duniani kote kwenye mataifa yaliyo stable, system inaishi na kutenda Kwa maslahi ya umma na sio maslahi ya wanasiasa au kikundi cha wahuni wachache, na ikitokea kinyume chake basi watu huchukua hatua haraka kwa maslahi ya umma sio chama.

Hapa kwetu wote tunajionea mambo yalivyo hovyo hovyo na tuliamini since 1995 system iwe macho kuziba loop holes zote za wanasiasa kuiteka Kwa maslahi ya umma, matokeo imetekwa na sasa ni mali ya wanasiasa wachache kwa maslahi ya wachache.

Siamini kama ni wakati wa kulinda kiapo tena ilihali kila kitu kipo wazi, ni wakati wa wazalendo wachache waliobaki kuachana na unafiki WA kiapo na kuchukua hatua haraka kwa maslahi ya umma.

ndani ya mitaa ya Kabul-Afghanistan.
 
Siamini kama ni wakati wa kulinda kiapo tena ilihali kila kitu kipo wazi, ni wakati wa wazalendo wachache waliobaki kuachana na unafiki WA kiapo na kuchukua hatua haraka kwa maslahi ya umma.

ndani ya mitaa ya Kabul-Afghanistan.
kutunza siri za kiapo sio option,its a duty,ni wajibu!,uki breach,Keko,Ukonga au Segerea,itakuhusu!,na kama hiyo breach itahatarisha usalama wa taifa DW inasainiwa watu wa kazi wanaingia kazini to do away!,sometimes ni polonium ,sometimes ni induced sickness, sometimes ni slow lether poison, sometimes ni accident look a like, or sometimes they are so professional such that, mtu unalala mzima, huamki!, postmortem report inaonyesha its natural death!.
P
 
Kwan ukitenda dhambi ukimwomba mungu hatakusamehe? Shida iko wapi
Nyie CHADEMA mmekuwa wasaidizi wa Mungu kwamba huwa mnasamehe dhambi? Waliomuua Mzee Kibao wakijitokeza na kuomba msamaha hamtataka wafikishwe mahakamani? Acheni ujinga kama kweli mnataka kuingia ikulu.
 
Kuna watu wapo tayari kwa lolote. Kama mzee wetu tu rest in peace Jiwe.
 
Kila nafsi itaonja mauti,

Yeye aseme tu, kama ndio njia pekee kuwarudisha kufuata taratibu za chama,katiba, na Sheria za nchi,

Aseme tu,

Tena aseme akiwa amefungua Koo lote.

Hii nchi SI Mali yao wachache.
 
Watakao msikiliza ni wapumbavu wenzake
 
Amtaje aliyempiga TAL risasi
Naunga mkono hoja, amtaje tuu, ill afanyiwe uchunguzi wa kijinai na kuiachia sheria kufuata mkondo wake, ila ni kama yupo, lakini ikitokea hayupo, ameishatangulia mbele ya haki, hakuna haja ya kumtaja mtu ambaye hawezi kujitetea, itakuwa ni kama kumsimanga marehemu, kama mwanahabari EK alivyomsimanga kwenye issue ya Ben Saanane
Mimi nilishauri Si lazima kila Ukweli usemwe, ukweli mwingine is FYE only! Uzalendo wa kweli ni pamoja kuwa na Kabbah, unahifadhi ukweli kifuani mwako, unakufa nao

P
 
Katika hayo yote uliyoyaorodhesha, magufuli walimfanya nini?

Nani alisaini hiyo DEATH WARRANT?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…