Ngoja tuoneMstaafu aliyeudhuria kikao cha kupanga namna ya kuchagua mwenyekiti WA chama baada ya mtangulizi wake kukata kamba, mstaafu hakuwa sehemu wajumbe WA kikao hicho ila alijialika Tu na kuwa mchangiaji WA Kwanza...hahaha!
Nadhani anazingatia international humanitarian law. Ukitaka kumuua mtu kwa risasi, muonye kwanza. eidha kwa kupiga moja hewani ama vinginevyoAnalemba lemba nini? Amwage kila kitu , wakati ni huu.
huyu ni ofisa wa serikali wa ngazi ya mwandamizi amekula kiapo cha kutotoa siri za serikali for life!, akipayuka siri sensitive, anageuka hatari kwa usalama wa Taifa!, hivyoHio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.
Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea.
Nachokiona ni kwamba, anayosema yakipuuzwa, basi na yeye anaongea zaidi.
Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?
Muda utasema.
Magufuli alijitahidi kutengeneza CCM ikawa ya kila mtu mama ampambane na ilo CCM iwe ya kila mtu kipindi cha Magufuli hata watoto wa Viongozi walikua na nidhamu sanaMzee wa Kino kama CCM ilinusurika 2015 ni ngumu sana kwa sasa hivi kuyumbishwa na Polepole. Laingwanan peke yake ndo alituvuruga. Pia hakuna mwanaCCM mjinga anayeweza kukubali CCM ianguke kwa sababu ikitokea itakuwa hatari mno.
Hivi kumuondoa Samia kuna hatari gani? Acha vitisho vya uongoMzee wa Kino kama CCM ilinusurika 2015 ni ngumu sana kwa sasa hivi kuyumbishwa na Polepole. Laingwanan peke yake ndo alituvuruga. Pia hakuna mwanaCCM mjinga anayeweza kukubali CCM ianguke kwa sababu ikitokea itakuwa hatari mno.
Tunampuuza kwakuwa alikaa kimya wakati wa uovu wa Magufuli. Lakini hatupuuzi ukweli wake.Polepole amekuwa kama mbwa anayebweka bweka tu. APUUZWE
Ni wapumbavu. Waombe mdahalo naye waende hoja kwa hoja ili tuzijue mbichi na mbivu!Huyu mwamba anafanya mpaka jamaa wanazima mitandao 😄
Ova
Ushauri wako ni nini sasa MZEE PASKO?huyu ni ofisa wa serikali wa ngazi ya mwandamizi amekula kiapo cha kukutoa siri for life, akipayuka siri watamfikia!,unadhani ukimya wa, Aboud Jumbe,Dr。Salmin na Balozi Ali Karume ni wao wameamua kukaa kimya?, wamekimyiishwa!,Na wakiona na ngumu kumkimyiisha,then wanamnyamazisha jumla!
P
woga ni dhambi. Kila mtu atakufa siku moja.huyu ni ofisa wa serikali wa ngazi ya mwandamizi amekula kiapo cha kukutoa siri for life, akipayuka siri watamfikia!,unadhani ukimya wa, Aboud Jumbe,Dr。Salmin na Balozi Ali Karume ni wao wameamua kukaa kimya?, wamekimyiishwa!,Na wakiona na ngumu kumkimyiisha,then wanamnyamazisha jumla!
P
Watamteka 😄Ni wapumbavu. Waombe mdahalo naye waende hoja kwa hoja ili tuzijue mbichi na mbivu!
Kwahiyo huyo mbwa akibweka na nyie mnapoteana na kuzima mitandao? Maana yake nyie kumbe mnatishwa hata na mbwa tu, sasa nyie ni watu ama ni nguchiro kumwogopa mbwa?Polepole amekuwa kama mbwa anayebweka bweka tu. APUUZWE
Kama Una mawasoliano na Nyanda mwambia bora kukwepa conference zojazo kama mwenzake Balile kuliko kuonyesha alivyo mtupu kichwani...huyu ni ofisa wa serikali wa ngazi ya mwandamizi amekula kiapo cha kukutoa siri for life, akipayuka siri watamfikia!,unadhani ukimya wa, Aboud Jumbe,Dr。Salmin na Balozi Ali Karume ni wao wameamua kukaa kimya?, wamekimyiishwa!,Na wakiona na ngumu kumkimyiisha,then wanamnyamazisha jumla!
P
Wasizime mtandao sasaPolepole amekuwa kama mbwa anayebweka bweka tu. APUUZWE
Huyu yuko nje ya nchi na huenda alishaomba hifadhi ya kisiasa.huyu ni ofisa wa serikali wa ngazi ya mwandamizi amekula kiapo cha kukutoa siri for life, akipayuka siri watamfikia!,unadhani ukimya wa, Aboud Jumbe,Dr。Salmin na Balozi Ali Karume ni wao wameamua kukaa kimya?, wamekimyiishwa!,Na wakiona na ngumu kumkimyiisha,then wanamnyamazisha jumla!
P
Kama ana nia nzuri aongee yote tu.Hio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.
Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea.
Nachokiona ni kwamba, anayosema yakipuuzwa, basi na yeye anaongea zaidi.
Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?
Muda utasema.