Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mlipotaka muwe na Bunge la WanaCCM kwa asilimia tisini na nane hamkujua umuhimu wa wabunge wa upinzani?
Hili bunge lingekuwa hata na wabunge wa upinzani 40% hii dharau ya WanaCCM kulifanya bunge kibogoyo isingekuwepo.
Mliharibu uchaguzi na kumbe mlikuwa mnaharibu maisha ya Watanzania.
Inabidi utubu dhambi na ikiwezekana uombe wabunge wote wa CCM wajiuzulu uchaguzi urudiwe.