Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mkuu wewe ni kinyonga. Aliyejiunga JF juzi ndio anaweza kukuaminiMlipotaka muwe na Bunge la wanaCcm kwa asilimia tisini na nane hamkujua umuhimu wa wabunge wa upinzani?
Hili bunge lingekuwa hata na wabunge wa upinzani 40% hii dharau ya wanaCcm kulifanya bunge kibogoyo isingekuwepo...
Kinyonga namna gani?Mkuu wewe ni kinyonga. Aliyejiunga JF juzi ndio anaweza kukuamini
Sio tu hilo. Leo Bashiri na Polepole wakl out. Laana inawatafuna.Mlipotaka muwe na Bunge la wanaCcm kwa asilimia tisini na nane hamkujua umuhimu wa wabunge wa upinzani...
safi sanaEeeh wahenga walisema majuto mjukuu, usitukane mamba....,usitukane wakunga, mwenzako akinyolewa...na methali za kutosha...
Kwani nini usiweze kuwa huko, kwani umeondoka liniMkuu ze wa mikatoon naomba tuheshimiane. Mimi siwezi kuwa MccM
Sikuhizi Behaviourist ameishiwa kabisa cartoons anagwayagwaya tu! 🙂 Kuna rafiki yake wa karibu amenitonya eti naye anataka kuomba kadi ya kuhamia huku Sisiemu! It's seems home ^kume-know-ga!^Mkuu ze wa mikatoon naomba tuheshimiane. Mimi siwezi kuwa MccM