GE2025 Polepole: Mwaka huu hakuna uchaguzi, ni CCM VS CCM, CCM na ACT-Wazalendo ni kitu kimoja!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa nafasi yake Polepole akutakiwa kutoa siri za namna ile.

As much as much as uongozi wa ‘bi tozo’ ulivyo wa hovyo na nisivyomkubali.

Polepole kama hakuwa na backup ya maana kama alivyotuaminisha bora angebaki Cuba tu kula neema za nchi.

Pima vita vyako, ukiona si vya kushinda ata adui akukere vipi ni bora kukaa kimya kuliko alichofanya Polepole leo, yeye mwenyewe anajua atawakera wengi sana including hata hao viongozi waliokuwa wanamuunga mkono.

Anyway that’s my take, being a hypothesis; wengine wanaweza kuwa na mtazamo tofauti.
Ninaamini ameamua kuwa mkweli kwa nafsi yake na Mungu wake regardless the consequences. That's integrity.

Notabene: Hao viongozi wanaomuunga mkono wamefanya nini mpaka sasa?
 
Huyu tahira Polepole amesahau yeye na boss wake Jiwe walivyofanya kampeni miaka 5 huku CHADEMA wakiwakataza hata kukusanyika vikao vya ndani.
Hata TV, redio na magazeti vilizuia kuripoti habari za CHADEMA.
Miezi miwili bado uchaguzi mkuu ndipo wakaifungulia . Na majimbo yote wakatia mfukoni kibabe.
Ni tahira pekee atamwona Polepole kuwa ni hero.
Sifa kuu ya tahira ni kusahau hovyo.
Haya matahira kazi kwenu
 
Tofauti ya JPM at least alikuwa na uzalendo na alijali walio chini...
Huyu wa sasa ni zero plus zero.. wananchi hawamtaki, kapwaya kote...
 
Ninaamini ameamua kuwa mkweli kwa nafsi yake na Mungu wake regardless the consequences. That's integrity.

Notabele: Hao viongozi wanaomuunga mkono wamefanya nini mpaka sasa?
Sidhani kwa nafasi yake alitakiwa kusema hayo; ni sawa na wale jamaa wa ‘NSA’ USA waliochukizwa na utaratibu wa big brother. Ambapo intelligence services walivyokuwa wanatumia vibaya rights za kupata info. waliobainika whistle blowers kilichowapata acha tu.

Ni hivi hata kwenye mashirika makubwa hasa ya tech uta sign mkataba wa ‘restrictive covenant’ ambao uruhusiwi kuongelea research zao, plan za product zao za future na pengine kufanya kazi kwenye rival firm labda mpaka miaka mitano ipite.

Seuse serikalini, utajua mangapi na mengi ambayo unethical? Alichofanya leo Polepole kaonyesha udhaifu mkubwa he is too emotional.

Bora angetulia tu kama team yake yenyewe aikuwa na vigogo serikalini; as much as kuchukizwa kwake kwa kinachoendelea serikalini.
 
Huyu tahira Polepole amesahau yeye na boss wake Jiwe walivyofanya kampeni miaka 5 huku CHADEMA wakiwakataza hata kukusanyika vikao vya ndani.
Hata TV, redio na magazeti vilizuia kuripoti habari za CHADEMA.
Miezi miwili bado uchaguzi mkuu ndipo wakaifungulia . Na majimbo yote wakatia mfukoni kibabe.
Ni tahira pekee atamwona Polepole kuwa ni hero.
Sifa kuu ya tahira ni kusahau hovyo.
Haya matahira kazi kwenu
Two wrongs don't make a right. Ana haki ya kusema.
 
Sidhani kwa nafasi yake alitakiwa kusema hayo; ni sawa na wale jamaa ‘NSA’ waliochukizwa na utaratibu wa big brother. Ambao intelligence services walivyokuwa wanatumia vibaya rights za kupata info.

Ni hivi kuna mashirika makubwa hasa ya tech uta sign mkataba wa ‘restrictive convenant’ uruhusiwi kuongea research zao, plan za product zao za future na pengine kufanya kazi kwenye rival firm labda mpaka miaka mitano ipite.

Seuse serikalini, utajua mangapi? Alichofanya leo Polepole inaonyesha kaonyesha udhaifu mkubwa too emotional.

Bora angetulia tu kama team yake yenyewe aikuwa na vigogo serikalini; as much na kuchukizwa kwake kwa kinachoendelea serikalini.
Brother mkataba wa kipuuzi na watu wachache wenye nia ovu si muhimu kuliko maslahi mapana ya nchi...

What is mkataba bro?

Mkataba wa Mangungo wa Msovero ama? Hata ule ulikuwa mkataba...
 
Kwa mujibu wa maelezo ya Polepole nikwamba hata usipoenda kupiga kura lakini taarifa zako tayari zinakuwa ilzitasoma ulipiga tena kwenye kituo chako kile kile pendwa issue yamapacentage ni vile watakavyoona wao waweke ushindi wa asilimia ngapi

Jamaa katusanua pakubwa sana
 
Sidhani kwa nafasi yake alitakiwa kusema hayo; ni sawa na wale jamaa wa ‘NSA’ USA waliochukizwa na utaratibu wa big brother. Ambapo intelligence services walivyokuwa wanatumia vibaya rights za kupata info. waliobainika whistle blowers kilichowapata acha tu.

Ni hivi hata kwenye mashirika makubwa hasa ya tech uta sign mkataba wa ‘restrictive covenant’ ambao uruhusiwi kuongelea research zao, plan za product zao za future na pengine kufanya kazi kwenye rival firm labda mpaka miaka mitano ipite.

Seuse serikalini, utajua mangapi na mengi ambayo unethical? Alichofanya leo Polepole kaonyesha udhaifu mkubwa he is too emotional.

Bora angetulia tu kama team yake yenyewe aikuwa na vigogo serikalini; as much as kuchukizwa kwake kwa kinachoendelea serikalini.
Taifa linapaswa kuwa kubwa kuliko chama ama serikali. Ametimiza wajibu wake kama Mtanzania mzalendo. Historia itahukumu alichokifanya.
 
Acha kumfundisha uoga aisee ,yaani hapa tulipofikia bado unatamani mtu aendelee kuwa mstaarabu, ili iwe nini?

Kaa kwa kutulia,ule ni mwanzo tu , ngoma hapa nikumwaga mboga na ugali mazima.

October hakuna Uchaguzi.
 
Brother mkataba wa kipuuzi na watu wachache wenye nia ovu si muhimu kuliko maslahi mapana ya nchi...

What is mkataba bro?

Mkataba wa Mangungo wa Msovero ama? Hata ule ulikuwa mkataba...
Taifa linapaswa kuwa kubwa kuliko chama ama serikali. Ametimiza wajibu wake kama Mtanzania mzalendo. Historia itahukumu alichokifanya.
Anzeni na kuitenganisha CCM na vyombo vya usalama (serikali kwa ujumla).

Punguza madaraka ya raisi kuteua watu hovyo (senior civil service zote) option zake ni kutotakana succession planning ya taasisi zenyewe na nafasi zinaenda na matching competence. Yeye anapewa options tu akitaka kuteua sio kujiamulia nje ya candidates anaopewa.

Ondoa madaraka ya kutengua kwa kujisukia tu, ukishafanya hayo wavunje wingi ya walinzi wa chama; CCM ijitegemee.

Sio huku kukurupuka kwa hasira tu, si usalama wenyewe walimpa nchi Samia walitegemea nani; mtu gani mwenye akili timamu angempa yule mama nchi.

Wao washapiga boko 2021 washaona madhara yake, wajipange sasa njia sahihi ya kuachana na majizi ya CCM.
 
Back
Top Bottom