Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Kuna kitu hakipo sawa kichwani mwako!Watanzania mmekuwa wajinga na wapmbavu mliopitiliza. Yaani mnashughulika na ngano za Polepole? Who is Polepole kwenye security system ya nchi hii hata mkaamini ngano zake? Aliyewaambia ukiwa Katibu Mwenezi wa CCM au Balozi unakuwa kwenye jukwaa la kujua Siri za nchi amewadanga kwa kiasi kikubwa. Polepole sio mzima, ana tatizo la afya ya akili.
Tanzania ya sasa kuna security system yenye manufaa kwa raia au ni kwa ajili ya kulinda maslahi ya kimtandao?
Raia wasingeliweza kutekwa na kupotezwa kisha kukawa kimya kama kuna security system yako ya kufikirika!
Kwa sasa ni kujihangaisha kujadili personality ya mtu bila kujikita kwenye hoja.
Mnaokuja kwa nguvu kumdiss Polepole bila kujenga hoja za maana tunaanza kuwa na mashaka na ninyi!