Mtupia tope tope humrudia mwenyewe
Tuvae miwani tutazame tu na macho tuangalie muda utaongea
Hekima ya mtu mzima ipo kwenye kunyamaza na kuongea kidogo
View: https://m.youtube.com/watch?v=DYWxb1B2koI&pp=ygUrVGludWJ1IGNvbXBhaW5pbmcgYWJvdXQgc29jaWFsIG1lZGlhIGFidXNlIA%3D%3D
Acha kutetea vitu vya hivyo.
Hapo juu ☝️ huo ndio ualisia matusi yanakera na wanao tukana wanajulikana vizuri tu; sema ni mazingira ya kujizuia tu.
Kama ni kurudisha makombora ingekuwa hatari serikalini.
Sasa why JF kwanini iachie matusi.
It’s not moral, yaani wanaona sawa kuwaita wenzao mbwa, sijui mama yake malaya, ooho hana marinda and so forth mambo ambayo kusema kwangu shida.
Kwanini JF ina normalise matusi hasa jukwaa la siasa.
Ingekuwa kujiachia ni rahisi hivyo; salaleh.
Kwangu mimi story alizotaka kunipa
Maxence Melo ni ujinga nina mabomu zaidi.
Sasa kwanini watu watukane wengine humu.
Shida ya JF ni kuendekeza wajinga wanaodhani wajuaji halafu hawana akili.
Kuna wazito huko serikalini ni wasomaji na wanakula matusi wenyewe wanaona bora yaishe kwa kuacha kuchangia tu na kutoingia humu.
Mjomba kama ingekuwa sio utu tu kama kuwasha watu huko serikalini kwa wengine ingekuwa balaa.
Shida ni haya matusi na watukanaji wenyewe ni mataahira tu; but does why JF inalelea huu upuuzi kwa kuwakimbiza vigogo wanaoutumia banner ID.
Matusi ni kero
Shida sio kuusema ukweli, lakini matusi kwakweli ni shida.