GE2025 Polepole: Mwaka huu hakuna uchaguzi, ni CCM VS CCM, CCM na ACT-Wazalendo ni kitu kimoja!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna kitu hakipo sawa kichwani mwako!

Tanzania ya sasa kuna security system yenye manufaa kwa raia au ni kwa ajili ya kulinda maslahi ya kimtandao?

Raia wasingeliweza kutekwa na kupotezwa kisha kukawa kimya kama kuna security system yako ya kufikirika!

Kwa sasa ni kujihangaisha kujadili personality ya mtu bila kujikita kwenye hoja.

Mnaokuja kwa nguvu kumdiss Polepole bila kujenga hoja za maana tunaanza kuwa na mashaka na ninyi!
 
Kama unaona Polepole ana hoja basi wahi Milembe haraka. Hujachelleewa
 
 
JamiiForum hawajaipa airtime hii habari ya Polepole.

Na sio JF all medias
JF wana watu wao, wanaweza kuuweka uzi mbovu juu hata siku 10, na kuna nyuzi hazi kai hata dakika 10 zinashushwa, hili niliisha liona mara nyingi sana na halinisumbui kwasababu nafahamu, hawa JF lazima wako compromised.

Hivyo ukiandika humu wao hawahusiki.
 
Hii ishu itakwenda kama ilivyokuwa scandal ya Watergate iliyokuja kumng'oa madarakani Rais Richard Nixon, watu walipuuza lakini wale madogo wawili waandishi wa Washington Post walivyokuwa wanashuka nayo mdogo mdogo hadi Nixon akawa anaweweseka na kuongea na picha za watangulizi wake ndiyo wasaidizi wake wakamwambia basi mzee inatosha achia ofisi kabla hujavua nguo hadharani. Waliosoma kile kitabu "All the presidents men" wanaelewa.
 
Ahaa sio Tanzania.
 
Baada ya Jambo Tv kuunga juhudi sitashangaa ya Mange Kimambi kusema hata hapa tume kuwa compromised
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…