GE2025 Polepole: Mwaka huu hakuna uchaguzi, ni CCM VS CCM, CCM na ACT-Wazalendo ni kitu kimoja!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
How?

Umeliona gazeti la Mwananchi kuhusu hoja ya Polepole?
-NIDA wajibu (wamekana)
-INEC vilevile
-CCM wamekacha🤣🤣🤣
Kama wana teka na kuua na aana kana wakati iko wazi! Itakuwa hilo jambo wanalo jua wao tuu? Uliona majibu wa Muliro juzi kuhusu polisi kukimbia na box la kura? Ni nani hakumbuki Magomeni jamaa alivyo kimbia na box la kura? Je kujusu polisi kuteka na kupiga? Je ni nani amesahau walio kwenda kwenye kesi ya Lissu watu kuvunjwa miguu na kitupwa Mwabepande? Ccm na serikali yake sio wa kuaminika tena mbele ya jamii. Mungu tuu aendelee kuwaumbua.. Hata Farao alivyo weka moyo wake kuwa mgumu, Mungu alimuadhibu. Tusubiri laana ya Mungu juu ya utawala wa Ccm
 
THE FALL OF CCM 1995-2025.✍️📌
 
Halafu Nixon alikuwa amejirekodi sauti kila kitu kama sehemu ya kumbukumbu yake baadaye na matarajio ya kuandika vitabu.

Hizo tapes ndizo zikammaliza kabisa, baada ya kuwekwa katika maandishi neno kwa neno - zilikuwa ni direct incriminating evidence dhidi yake!

Hapa kwetu NIDA+INEC+CCM ndizo hizo tapes sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…